Kuhusu forums kusitisha kutoa huduma mpaka wapewe leseni. Je, inamaana serikali ikikataa kutoa leseni ndo basi tena? jamiiforums wameshasitisha huduma, wanafuatilia leseni