Close

Results 1 to 1 of 1
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Gobless Lema na Mkewe Kotini

  Mbunge huyo wa Arusha mjini amefikishwa mahakamani kwa kile kinachoitwa kosa kumtabiria Rais kifo, ambapo

  Mkewe anakabiriwa na mashtaka ya kumtumia ujumbe Mkuu wa Mkoa huo Mrisho Mgambo kwamba ni “Shoga”
  Tanzania pekee viongozi wake ndio wanaojiona wanahadhi ya Mungu
  Neon shoga lina maana mbili

  Moja. ni rafiki wa karibu, swahiba kindakindaki wa mtu
  Mbili.shoga ni Mtu anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja,


  Last edited by Wolfram Mwalongo; 02-11-2016 at 09:48.
  punda hajasoma lakini kazi hakosi

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •