Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Kwani Godbless Lema na Ally Bananga ni mashoga siku hizi?

  Habari wadau!
  Hata sitaki kuwa chosha,
  naenda moja kwa moja kwenye swali langu.

  Ivi hawa jamaa Yaani Godbless Lema na Ally Bananga wamekuwa mashoga siku hizi au ni majukumu tu ya kazi ndio yanayowakutanisha pamoja?

  Nakumbuka kama kumbu kumbu zangu ziko sawa siku za nyuma Bananga na Lema walikuwa hawapikiki Chungu Kimoja sasa najiuliza tu huu Ushoga wao ulianza lini? Naomba wajuzi wa mambo mnijuze

  Naomba nikiri wazi kilichonifanya kupandisha uzi huu na kuuliza swali hilo ni uwepo wa taarifa juu ya Lema na Bananga wawili hao jana usiku wamesalimika kutekwa na Majambazi,
  ni juhudi tu za dereva wao ndio zilizo saidia

 2. #2
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Kwani Godbless Lema na Ally Bananga ni mashoga siku hizi?

  Hayakuhusu, kampe unyumba mumeo ndiyo jukumu lako.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •