Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Senior Member Kansiime's Avatar
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  358
  Rep Power
  6
  Likes Received
  12
  Likes Given
  36

  Kwa huu Utetezi wa Mke wa Godbless Lema, nitashangaa kama mahakama itamuachia huru

  UTETEZI WA MKE WA LEMA, NEEMA TARIMO KUHUSU TUHUMA ZA KUMUITA MKUU WA MKOA WA ARUSHA MRISHO GAMBO KWA JINA LA SHOGA

  "Mimi Neema Tarimo, Mke wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema

  Leo nimefikishwa Mahakamani kwa shtaka la kwamba namba yangu imetumika kumtumia meseji ya matusi mkuu wa mkoa kitu ambacho sio kweli. Sijamtumia meseji ya matusi.

  Na hata meseji niliyosomewa siyo meseji ya matusi.

  Kumuita mtu #shoga ni kitu cha kawaida. Mimi nina mashoga wengi. Kwa hiyo kwa mimi kumuita shoga sielewi kwa nini amechukulia interpretation ambayo siyo sahihi.

  Lakini ndio maana tupo mahakamani na kesi ipo mahakamani na kwa kweli namshukuru Mungu nipo very bold kwa ajili ya kesi na mahakama itaamua, itagundua kama ni tusi ama si tusi.

  Kuhusu namba iliyotumika kutuma meseji, ni namba yangu na simu ni yangu kwa hiyo ....,tupo mahakamani kwa ajili ya #kupambana.

  Na kwamba mimi kuwasiliana na Mkuu wa Mkoa,......, tunawasiliana na hata namba nyingine ninayotumia tumeshawahi kuwasiliana kupitia meseji ya kawaida na kupitia meseji ya Whatsapp"

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: Kwa huu Utetezi wa Mke wa Godbless Lema, nitashangaa kama mahakama itamuachia hur

  Eti nitashangaa,nenda basi ukawe wakili wa Gambo.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •