Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  BAADA YA MKE WA LEMA KUMTUKANA RC WA ARUSHA NIMEJIFUNZA YAFUATAYO

  1. Siasa ni hatari sana, Mwanamke bila kujali Maandiko Matakatifu na Mila zetu za kiafrika juu ya utii wa Mwanamke kwa Mwanaume anaweza kuwa huru kabisa kabisa kumtukana Mwanaume na mwisho wa siku tukakubali, zile ni siasa tu. Aisee;

  2. .Mwanamke hata uwe umesoma vipi(sina uhakika kama mke wa Lema ana shule gani), bado umwanamke haukuishi kamwe. Hivi Mke wa Lema anaposema yeye ana mashoga wengi hivyo haoni tatizo RC Ghambo kuitwa Shoga, anataka kutuambia yeye na Lema wanaitana SHOGA? Kama ni kweli wanaitana SHOGA, basi Lema aje atufafanulie hili kwanini anaitwa SHOGA.


  3. .KUNA Baadhi ya wanasiasa wamejaliwa kuwa ana wanawake waliouvaa uwana-uke, la sivyo tungekuwa tunashuhudia vimbwanga kila siku. Hongera zao akina Edward Lowassa, Freeman Mbowe, Nape Nnauye, Zitto Kabwe, Devid Kafulila, Januari Makamba, Sospeter Muhongo n.k. Hawa wanasiasa wamepitia vipindi vigumu sana katika safari zao kisiasa lakini hatujawhi kusikia kauli za wake zao. Sipati picha Lema angekuwa Ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Walinzi wake lazima wangekuwa Wabunge Wanawake wa CHADEMA* na huwenda hata nguo za ndani wangekuwa wanamfulia na kumvalisha.

  4.* Tabia ya mtu inaweza kuwa siyo kwa kupenda kwake, bali inatokana na msongo wa mawazo unaotokana na mikikimikiki anayokumbana nayo kwenye familia yake. Nina mashaka na Familia ya Lema. Huyu mama siyo wa kawaida. Eti ni kawaida huwa anawasiliana na RC Gambo kupitia namba yake nyingine, Lema analijua hilo?


  NIMEJIFUNZA HAYO KWA LEO.

 2. #2
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: BAADA YA MKE WA LEMA KUMTUKANA RC WA ARUSHA NIMEJIFUNZA YAFUATAYO

  Wewe nenda kainamishwe tu hupati UDC wala u-ded.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •