Click image for larger version. 

Name:	proxy.jpeg 
Views:	204 
Size:	31.1 KB 
ID:	1703
MGOGORO
Viongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha, wakifunga ofisi za wilaya ya chama hicho jana ili kushinikiza ujenzi wa ofisi mpya, kutokana na tuhuma za ulaji wa michango ya harambee tangia mwaka 2010.