Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Dk. Hamisi Kigwangala: Dawa Zipo Kwa 100%

  Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Hamisi Kigwangala amesema Dawa *za binadamu zipo kwa asilimia 100. Dk. Kigwangala amefafanua kitaalam kuwa maana ya dawa kuwepo kwa 100% ina maana Bohari ya dawa(MSD) dawa zipo za kutosha kwa miezi 6 mbele, Bohari za Kanda zina dawa za miezi mitatu mbele na Bohari za Wilaya zina dawa za kutosha mwezi mmoja mbele.*

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: Dk. Hamisi Kigwangala: Dawa Zipo Kwa 100%

  Upuuzi mtupu.Kwa hiyo yeye anapingana na Makamu wa rais.

  Vipi bado anaendelea kuwahi hospitalini alfajiri na mapema na kuwafungia geti waliochelewa?.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •