Close

Results 1 to 3 of 3
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  KUSAKA URAIS TANZANIA COMPANY LIMITED

  Kusaka urais Tanzania company limited ni kampuni inayotakiwa kusajiriwa Na kiongozi au
  mwenyekiti anatakiwa awe mh lowassa!!

  Kampuni hii ni kongwe sana tangia enzi za Mwalimu Nyerere!!kampuni hii ni mabingwa Wa kutengeneza mitandao hatari ndani ya chama ili
  kuusaka urais kwa udi Na uvumba!!
  Kampuni hii haiamini kitu kingine Bali nguvu ya pesa Na propaganda za uongo!! kampuni hii yenye kirusi kibaya cha kutengeneza mitandao ilitaka kuimaliza nchi kupitia CCM!!kama kusingekuwepo antivirus Kali inayoundwa Na wazee Wa CCM basi Leo tungekuwa tunazungumza mengine!!
  Kampuni hii ndiyo iliyomweka rais mstaff madarakani japo wapinzani wakiongozwa Na mh Mbowe walikuwa wanamsema kuwa eti nidhaifu!! chakushangaza kwa sababu Leo kampuni hii hatari imehamia chadema wanatamani Leo kama rais waliyemdhalilisha mbele ya wananchi wake angerudi madarkani wapate ahuweni maana rais aliyeko madarakani kwa sasa amewakaba koo wanashindwa kupumua!!

  Tunamshukuru Mungu sana sana kuwa kampuni hii imehama chama chetu japo masalia yapo!! Nakionea huruma chama kilichopokea kampuni hii maana kama Mwalimu nyerere aliiogopa kampuni hii ilikuwaje chadema wakaipokea na kuikumbatia? kwa masikitiko makubwa ni kwamba chadema si chama tena chakuwatetea wanyonge kama ilivyokuwa awali!! kirusi hiki kitaitafuna chadema mpaka pale itakapokuwa Na wazee wenye busara(antivirus) waliyotayari kupinga kampuni hii

 2. #2
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: KUSAKA URAIS TANZANIA COMPANY LIMITED

  TataMadiba naona kigoli kimekushuka unatafuta wa kukipandisha.

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: KUSAKA URAIS TANZANIA COMPANY LIMITED

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  Kusaka urais Tanzania company limited ni kampuni inayotakiwa kusajiriwa Na kiongozi au
  mwenyekiti anatakiwa awe mh lowassa!!

  Kampuni hii ni kongwe sana tangia enzi za Mwalimu Nyerere!!kampuni hii ni mabingwa Wa kutengeneza mitandao hatari ndani ya chama ili
  kuusaka urais kwa udi Na uvumba!!
  Kampuni hii haiamini kitu kingine Bali nguvu ya pesa Na propaganda za uongo!! kampuni hii yenye kirusi kibaya cha kutengeneza mitandao ilitaka kuimaliza nchi kupitia CCM!!kama kusingekuwepo antivirus Kali inayoundwa Na wazee Wa CCM basi Leo tungekuwa tunazungumza mengine!!
  Kampuni hii ndiyo iliyomweka rais mstaff madarakani japo wapinzani wakiongozwa Na mh Mbowe walikuwa wanamsema kuwa eti nidhaifu!! chakushangaza kwa sababu Leo kampuni hii hatari imehamia chadema wanatamani Leo kama rais waliyemdhalilisha mbele ya wananchi wake angerudi madarkani wapate ahuweni maana rais aliyeko madarakani kwa sasa amewakaba koo wanashindwa kupumua!!

  Tunamshukuru Mungu sana sana kuwa kampuni hii imehama chama chetu japo masalia yapo!! Nakionea huruma chama kilichopokea kampuni hii maana kama Mwalimu nyerere aliiogopa kampuni hii ilikuwaje chadema wakaipokea na kuikumbatia? kwa masikitiko makubwa ni kwamba chadema si chama tena chakuwatetea wanyonge kama ilivyokuwa awali!! kirusi hiki kitaitafuna chadema mpaka pale itakapokuwa Na wazee wenye busara(antivirus) waliyotayari kupinga kampuni hii
  Andaa cheti cha ndoa kuhakikiwa.Hahahahahaaaaaa.

  Baada ya hapo jiandae kuhakikiwa kama unafunga goli sawasawa.UKISTAAJABU YA CCM,UTAONA YA SERIKALI YAKE.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •