Close

Results 1 to 3 of 3
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  CHADEMA LINI MTAKUWA NA MSHIPA WA AIBU? KATIKA KUMJIBU SENDEKA MSINGEYASEMA HAYA.

  Nimekunukuu taarifa ya Mkuu wa Idara ya Uenezi Chadema Taifa, HEMEDI ALI wakati wa mkutano wake na wanahabari:

  "Ni kawaida ya CCM kuchafua mtu ambae atakua na msimamo na nia ya kulivusha taifa , Wamefanya hivyo kwa viongozi wetu wa chama na watu binafsi hivyo hatushangai walivyo mshambulia Lowassa akiwa ndani ya CCM na hata Sasa CHADEMA"
  Mwisho wa kunukuu.

  Mytake: Kama ni kumchafua LOWASSA waasisi ni CHADEMA wenyewe, CCM wame-copy na ku-paste.
  Chadema mnajichoresha, wenyewe, mnamchoresha LOWASSA na mnawachoresha wafuasi wenu.
  Click image for larger version. 

Name:	downloadfile-1.jpg 
Views:	196 
Size:	27.2 KB 
ID:	1701

 2. #2
  Senior Member GURU's Avatar
  Join Date
  Aug 2014
  Location
  Gangstarr
  Posts
  906
  Rep Power
  6
  Likes Received
  26
  Likes Given
  41

  Re: CHADEMA LINI MTAKUWA NA MSHIPA WA AIBU? KATIKA KUMJIBU SENDEKA MSINGEYASEMA HAYA.

  Hahahaaaaa WANASIASA NI WANAFIKI BY NATURE

 3. #3
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: CHADEMA LINI MTAKUWA NA MSHIPA WA AIBU? KATIKA KUMJIBU SENDEKA MSINGEYASEMA HAYA.

  Hata mtukufu? Ngoja nimtonye mjomba Magu.
  Last edited by KISIKI; 01-11-2016 at 09:39.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •