Close

Results 1 to 7 of 7
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  BwanaYule alistahili Saluti?

  Tarehe 29 siku ya Jumamosi BwanaYule alijitokeza katika viwanja vya Buguruni kufanya Usafi kama ilivyo ada usafi wa mwisho wa mwezi katika hali ya kushangaza Polisi mmoja sijui alikuwa kindude,hofuau heshima kwa mkubwa wake akampigia saluti BwanaYule sasa hapa waungwana naomaba kujua

  kweli BwanaYule Spy? maaana upo uvumi kwamba yeye alipandikizwa kwenye msisikiti na vyama vya siasa kwajili ya kufuatilia kila kinacho endelea huko na kuripoti kwa wakubwa wake
  hili la Polisi kupiga saluti mbona linleta ukakaksi au ndio kweli?

  BwanaYule yeye ni kiongozi wa Siasa tena hana sifa ya kupigiwa saluti kitu gani kimejificha hapa
  punda hajasoma lakini kazi hakosi

 2. #2
  Senior Member GURU's Avatar
  Join Date
  Aug 2014
  Location
  Gangstarr
  Posts
  906
  Rep Power
  6
  Likes Received
  26
  Likes Given
  41

  Re: BwanaYule alistahili Saluti?

  Mwaka 2015 wakati wa Kampeni za Uchaguzi mkuu Mgombea wa Chadema Edward Lowassa alipokuwa Nguruka-Uvinza alipigiwa salute na askari Polisi. Baada ya tukio hilo makada wa Chadema walifurahia na kusema huyo ndio Rais ajaye maana hata askari wanampigia salute.
  Kwa hiyo Lowassa nae ni spy Chadema? Maana upo uvumi eti amepandikizwa Chadema ili kudhoofisha vita dhidi ya ufisadi.

  Hayo mambo ya salute najua ni ya kijeshi kwa hiyo askari hawezi kumpigia salute raia wa kawaida.

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: BwanaYule alistahili Saluti?

  GURU unajua kwamba Lowassa ni Waziri Mkuu msataafu na atapigiwa saluti mpaka kufa kwake hivyo hata wakati ule chadema ilikuwa ni siasa lakini anastahili kupigiwa Saluti wakati wowote na saa yeyote labda kama mlitaka anyimwe kwakuwa kajiunga na Chadema maaana siasa za visasi Tanzania hatujambo
  punda hajasoma lakini kazi hakosi

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  441
  Rep Power
  6
  Likes Received
  4
  Likes Given
  0

  Re: BwanaYule alistahili Saluti?

  BwanaYule kapigiwa saluti? Mh..................loading Yeye ninani? lakini nakumbuka walimgonga Rungu Polisi Mtongani huyu au ilikuwa ni sinema tuuu Lakini ndiye aliye tinga Ikulu kumpongeza Mh.JPM
  shida za watanzania nina zijua

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Nov 2015
  Posts
  133
  Rep Power
  5
  Likes Received
  4
  Likes Given
  2

  Re: BwanaYule alistahili Saluti?

  mmeshiba mmevimbiwa ndio mnakuja kutapiaka ujinga huosaluti si heshima, wapinzani msitake kutafuta kiki kwavitu visivyo na Kichwa wala miguu
  Chama Imara CCM Daima]

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: BwanaYule alistahili Saluti?

  Quote Originally Posted by Ubungo President View Post
  BwanaYule kapigiwa saluti? Mh..................loading Yeye ninani? lakini nakumbuka walimgonga Rungu Polisi Mtongani huyu au ilikuwa ni sinema tuuu Lakini ndiye aliye tinga Ikulu kumpongeza Mh.JPM
  Bwana Yule,shida tupu.Hajiulizi kwa nini apigiwe saluti sasa na polisi wale wale waliomtwangwa vilungu na kumsweka kwenye gari kama mzigo.

 7. #7
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: BwanaYule alistahili Saluti?

  Halafu bwana yule sura imekuwa ya kuzimu kabisa,lazima atakuwa na unasaba na ibilisi.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •