Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  7
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Hawa Wanasiasa Walishajimaliza Kwa Kauli Zao Wenyewe, Wasimtafute Mchawi.

  Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu. Hayo ni maneno yaliozoeleka sana katika midomo ya wanasiasa. Wanachokisahau tu ni kwamba kwa Mungu maneno hayo ni kama Msumeno, yanakata kotekote. Huwezi kudai haki bila kutekeleza wajibu, vivyo hivyo ukitaka neema kwa Mungu, usisahau laana au hukumu pale utakapokwenda kinyume.
  Hawa wanasiasa wasimtafute mchawi, mchawi ni kauli zao wenyewe. Siku zote wataendelea kudhani ni maarufu na kwamba iko siku watashika madaraka lakini ni ukweli kwamba walishajimaliza wenyewe.
  1. Naachana na Siasa, na badala yake nataka kufundisha chuo kikuu-Zitto Kabwe
  2. Nani, LOWASSA CHADEMA? OVER MY DEAD BODY!-Freeman Mbowe
  3. Nikishindwa Uchaguzi nakwenda Kuchunga Ng'ombe-Edward Lowassa.

 2. #2
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  7
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Hawa Wanasiasa Walishajimaliza Kwa Kauli Zao Wenyewe, Wasimtafute Mchawi.

  Yaani wewe uko kama mwewe, akikosa kifaranga cha kubeba anachukua hata takataka ili mradi tu asiondoke patupu, sasa kujipinda kote hii ndiyo umeona ni habari, ndiyo maana hata JPM amewatosa kwenye teuzi zake,utasugua sana benchi.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •