Close

Results 1 to 4 of 4
 1. #1
  Senior Member Kansiime's Avatar
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  358
  Rep Power
  5
  Likes Received
  12
  Likes Given
  36

  Kuna matumizi HEWA ya fedha za Ruzuku ndani ya CHADEMA

  Kuna mambo sijui kwa nini CHADEMA hawahoji. Wafuasi wengi wa CHADEMA ni kama wamepigwa ganzi kwenye vidole na midomo yao. Sielewi ni kwa nini wakati kila kitu kipo wazi.

  Tunaambiwa kuwa CHADEMA wanapata ruzuku zaidi ya milioni 600. Takwimu zingine zinasema milioni 800. Hiki si siasi kidogo cha pesa. Hata hivyo pamoja na kujua kiasi cha fedha kinachoingia, hatujui matumizi yake na wala hakuna anayejitokeza kuomba mrejesho wa matumizi hayo.

  Mimi kama mtanzania na mmoja wapo wa walipa kodi, nina wajibu wa kuhoji hili kwa vile naamini kwenye hizo fedha, kuna asilimia fulani inatoka kwangu. Lazima nijue wanaitumiaje.

  Awali tuliambiwa kuwa Mbowe amenunua nyumba Dubai kutokana na fedha za Ruzuku.

  Tukaambiwa hapa leo kuwa Mbowe anachota milioni 150,000 kila mwezi.

  Viongozi wa chama wengi wanaambiwa wajitolee kutumikia chama na wanafanya hivyo bila ya malipo. Leo mwenyekiti anatumia kampuni yake kufilisi fedha za ruzuku! Haikubaliki!

  CHADEMA hawana na hawana mpango wa kujenga Ofisi. Makao Makuu iliyopo Ufipa ni jengo la kupanga na wanalipa zaidi ya milioni 10 kwa Mwezi kama gharama za pango. Je fedha hizo zisingetosha kujenga Ofisi yao?

  Ni wakati sasa kwa Serikali kupitia Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali kupitia nyaraka zote za matumizi ya fedha za ruzuku ndani ya CHADEMA. Zinapigwa vibaya sana na matumizi yake hayaeleweki

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: Kuna matumizi HEWA ya fedha za Ruzuku ndani ya CHADEMA

  wewe msemaji wa Chadema?
  punda hajasoma lakini kazi hakosi

 3. #3
  Senior Member Mshangai's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  188
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  13

  Re: Kuna matumizi HEWA ya fedha za Ruzuku ndani ya CHADEMA

  Hivi nani ana matumizi mabaya ya ruzuku kati ya hawa wawili.
  Mmoja watumishi wa chama wanalipwa mishahara kila Mwezi na michango ya mifuko ya jamii inakwenda kama kawaida na mwingine yeye hajalipa mishahara kwa miezi saba na michango ya watumishi haiendi kwenye mifuko ya jamii?
  Mbaya zaidi mitambo ya kuchapia magazeti iliyo nunuliwa kwa ruzuku viongozi wanaiba na kuiuza kama chuma chakavu?

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: Kuna matumizi HEWA ya fedha za Ruzuku ndani ya CHADEMA

  Quote Originally Posted by Kansiime View Post
  Kuna mambo sijui kwa nini CHADEMA hawahoji. Wafuasi wengi wa CHADEMA ni kama wamepigwa ganzi kwenye vidole na midomo yao. Sielewi ni kwa nini wakati kila kitu kipo wazi.

  Tunaambiwa kuwa CHADEMA wanapata ruzuku zaidi ya milioni 600. Takwimu zingine zinasema milioni 800. Hiki si siasi kidogo cha pesa. Hata hivyo pamoja na kujua kiasi cha fedha kinachoingia, hatujui matumizi yake na wala hakuna anayejitokeza kuomba mrejesho wa matumizi hayo.

  Mimi kama mtanzania na mmoja wapo wa walipa kodi, nina wajibu wa kuhoji hili kwa vile naamini kwenye hizo fedha, kuna asilimia fulani inatoka kwangu. Lazima nijue wanaitumiaje.

  Awali tuliambiwa kuwa Mbowe amenunua nyumba Dubai kutokana na fedha za Ruzuku.

  Tukaambiwa hapa leo kuwa Mbowe anachota milioni 150,000 kila mwezi.

  Viongozi wa chama wengi wanaambiwa wajitolee kutumikia chama na wanafanya hivyo bila ya malipo. Leo mwenyekiti anatumia kampuni yake kufilisi fedha za ruzuku! Haikubaliki!

  CHADEMA hawana na hawana mpango wa kujenga Ofisi. Makao Makuu iliyopo Ufipa ni jengo la kupanga na wanalipa zaidi ya milioni 10 kwa Mwezi kama gharama za pango. Je fedha hizo zisingetosha kujenga Ofisi yao?

  Ni wakati sasa kwa Serikali kupitia Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali kupitia nyaraka zote za matumizi ya fedha za ruzuku ndani ya CHADEMA. Zinapigwa vibaya sana na matumizi yake hayaeleweki
  Tupe evidence ya hayo matumizi hewa ya ruzuku

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •