Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  441
  Rep Power
  6
  Likes Received
  4
  Likes Given
  0

  BREAKING NEWS.... Didas Masaburi Afariki Dunia  BREAKING NEWS....
  Didas Masaburi, aliye wahi kuwa Meya wa jiji la Dar es Salaam kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), amefariki usiku wa leo katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa akipata matibabu.
  Marehemu atakumbukwa kwa uwezo wake na ujasiri wa "kutamka maneno magumu" ikiwemo lile la kusema wabunge wa Dar es Salaam wana fikiria kwa kutumia (.............)!!
  Pole kwa familia yake, chama chake na taifa kwa kupoteza kiongozi jasiri, mwenye hekima na busara "ya aina yake".
  Apumzike Mahali alipo jichagulia enzi za uhai wake, amen.
  shida za watanzania nina zijua

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: BREAKING NEWS.... Didas Masaburi Afariki Dunia

  mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi mbele yetu nyuma yako
  punda hajasoma lakini kazi hakosi

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •