hivi sasa nchini hakuna dawa, na hili ni tatizo kubwa lakini Serikali haitaki kusema ukweli, hali hii ikiendelea huenda tukapoteza watu wengi, hakuna ya kukaa kimya wahusika wachukue hatua