Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako ameagiza kufukuzwa chuo kwa walimu wa field waliohusika kwenye tukio la kumshambulia mwanafunzi Mbeya