Close

Results 1 to 12 of 12
 1. #1
  Junior Member Chongo's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  6
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  wanasiasa acheni kuchezea elimu yetu

  kitendo cha wizara ya elimu kwa kurekebisha viwango vya ufaulu na madaraja ya ufaulu baada ya kuondoa division zero na kuweka division 5 huu ni usaniii wa wana siasa waliokosa kazi ya kufanya na kuona wachezee elimu yetu ili kuja kupoteza kizazi chetu

 2. #2
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  57
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Chongo View Post
  kitendo cha wizara ya elimu kwa kurekebisha viwango vya ufaulu na madaraja ya ufaulu baada ya kuondoa division zero na kuweka division 5 huu ni usaniii wa wana siasa waliokosa kazi ya kufanya na kuona wachezee elimu yetu ili kuja kupoteza kizazi chetu  Wanaongeza viwango vya kufaulu. Hawataki kuchekwa kwamba wamefelisha wanafunzi- viwango vya elimu vimeshuka - wanataka kupata sifa kwamba wameshindisha maelfu ya watoto.

 3. #3
  Junior Member Kirube's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  18
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Bulicheka View Post
  [/SIZE]

  Wanaongeza viwango vya kufaulu. Hawataki kuchekwa kwamba wamefelisha wanafunzi- viwango vya elimu vimeshuka - wanataka kupata sifa kwamba wameshindisha maelfu ya watoto.
  hawa washenzi imani nao sina wanastahiki kunyongwa tu au kupigwa bakora hadharani
  " vyama vya siasa ni ulaji wa watu"

 4. #4
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  20
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Kirube View Post
  hawa washenzi imani nao sina wanastahiki kunyongwa tu au kupigwa bakora hadharani
  nakuunga mkono 100%
  ccm lazima mungoke 2015

 5. #5
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  10
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0
  hio ndo elimu ya bongo

 6. #6
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  57
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Hakuna kusingizia wanasiasa, hapa wanaoharibu elimu ni wataalamu. Kwani PROFESA Mchombe ni mwanasiasa? Yeye si mtaalamu? Huyu no katibu mkuu wizara ya elimu.

  Wanasiasaa hawa wamekuwa wakitengeneza sera, lakini wasimamizi ni watalaamu.

 7. #7
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  55
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  7
  Quote Originally Posted by Bulicheka View Post

  Hakuna kusingizia wanasiasa, hapa wanaoharibu elimu ni wataalamu. Kwani PROFESA Mchombe ni mwanasiasa? Yeye si mtaalamu? Huyu no katibu mkuu wizara ya elimu.

  Wanasiasaa hawa wamekuwa wakitengeneza sera, lakini wasimamizi ni watalaamu.
  tatizo wanasiasa wanawaendesha wasomi wetu kule wanapotaka na hao wasomi wetu kwa njaa zao wanakubali kuburuzwa na wanasiasa

 8. #8
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  18
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Chongo ujuwe siasa ndo zinaharibu mambo. Kwetu huku Bongo kila kitu SIASA, tena ile mbaya ya machafuzi.

 9. #9
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  21
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Bulicheka View Post

  Hakuna kusingizia wanasiasa, hapa wanaoharibu elimu ni wataalamu. Kwani PROFESA Mchombe ni mwanasiasa? Yeye si mtaalamu? Huyu no katibu mkuu wizara ya elimu.

  Wanasiasaa hawa wamekuwa wakitengeneza sera, lakini wasimamizi ni watalaamu.

  Yote wanasababisha wanasiasa Bulicheka kwani huyo Profesa anatekeleza matakwa ya wanasiasa waliompa cheo hicho, wataatuua hawa kwani kutoeleimika ni sawa na kuuliwa kiakili

 10. #10
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  18
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: wanasiasa acheni kuchezea elimu yetu

  Wabongo bhana, hata darasa la saba nao wanadiss elimu ya secondary, majanga haya!

 11. #11
  Senior Member zumbemkuu's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Street Dweller
  Posts
  148
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  23

  Re: wanasiasa acheni kuchezea elimu yetu

  mulugo tu ni naibu waziri hajui Tanzania ni muungano wa nchi gani unatarajia nini?

 12. #12
  Member Tisi's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  53
  Rep Power
  7
  Likes Received
  1
  Likes Given
  5

  Re: wanasiasa acheni kuchezea elimu yetu

  Quote Originally Posted by Chongo View Post
  kitendo cha wizara ya elimu kwa kurekebisha viwango vya ufaulu na madaraja ya ufaulu baada ya kuondoa division zero na kuweka division 5 huu ni usaniii wa wana siasa waliokosa kazi ya kufanya na kuona wachezee elimu yetu ili kuja kupoteza kizazi chetu
  ndio maana matokeo ya mwaka huu yamemwagika tu wamekibia aibu mapema eti ufaulu umeengezeka kumbe wanadidimiza elimu yetu

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •