Close

Results 1 to 3 of 3
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Nov 2015
  Posts
  133
  Rep Power
  5
  Likes Received
  4
  Likes Given
  2

  kijiji cha wanyonya damu ni kishirikina sio hivi hivi

  Tukio la Wananchi wa kijiji cha Iringa Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma la kuuawa kwa Watafiti walio itwa wanyonya damu na wanakijiji hao nata kupelekea kuuawa kwao kinyama
  maswali ya kujiuliza
  ni kweli mchungaji yupo katika fikra za kunyonyana damu karne hii? kwakuwa yeye anatajwa kuhusika kutoa tangazo kanisani juu ya watu hao baada ya kupokea taarifa kutoka kwa mwanamke aliye waona watu hao na kuanza kupiga kelele kwamba ni wanyonya damu.
  Elimu ya watu hawa ni kiwango gani? hakuna hata aliye ishia la saba
  Lugha wanayotumia ni ipi? kama kiswahili wali shindwa kuuliza

  Jambo kubwa ni kufahamu background ya Hicho kijiji maana hii ni hatari sana kwa usalama wa mgeni yeyote maneo hayo haao wanahitaji adhabu kali sana ili kukomesha matukio ya kipuuzi
  Chama Imara CCM Daima]

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: kijiji cha wanyonya damu ni kishirikina sio hivi hivi

  kwani leo mmsahau Lowassa kusema kipaombele cha nchi hii ni Elimu hayo sasa
  punda hajasoma lakini kazi hakosi

 3. #3
  Senior Member Tumbo's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  358
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  22

  Re: kijiji cha wanyonya damu ni kishirikina sio hivi hivi

  Ukifuatilia na kuwachunguza hao wanakijiji utakuta wamebandika picha na bendera za kijani kwenye kuta za nyumba zao. Elimu, elimu, elimu.
  HAKI ikitendeka, AMANI hutamalaki, hakuna AMANI pasipo HAKI.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •