Close

Results 1 to 14 of 14
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  139
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Nitakopa hadi lini?

  Wadau naombeni msaada wenu wa mawazo; ninafanya kazi kwenye kakampuni flani hapo jijini Mbeya, nina mke na watoto wawili na msaidizi wa kazi hapa nyumbani. mshahara wangu kwa kweli ni sh. 400,000/- mtoto wangu wa kwanza anasoma hizi shule zetu za siku hizi za Kiinglish, huyu wa pili bado ananyoma. Tatizo nililonalo ni hili; nikishapata tu mshahara hela haitoshi kabisa katika kukidhi matumizi kwa familia yangu(Kulipa kodi ya nyumba, kulipa ada ya mtoto shule, kumlipa msaidizi wa kazi nyumbani, chakula, malazi nk) kila mwezi lazima nikope kwa Mangi. nimechoka sana hii tabia ya kukopa, wenzangu mnafanyaje mbona naona mnafanikiwa sana; mnajenga nyumba, mnanunua magari!!! Nipeni mawazo wadau nami niondokane na hili tatizo

 2. #2
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  30
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Mpamato View Post

  fanya ufisadi

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  139
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Ningejua huo ufisadi unafanyikaje ningefanya. jamani wadau msaada

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  6
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7
  Wakati unaenda kazini, mwambie mkeo afanye ujasiliamali hata auze maandazi itasaidia gharama za chakula cha familia.

 5. #5
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  30
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Mpamato View Post
  Ningejua huo ufisadi unafanyikaje ningefanya. jamani wadau msaada

  Nitafute nitakufundisha wiki tu utatembe na matako saaaaaafi kabisa

 6. #6
  Senior Member Ngwindimba's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  235
  Rep Power
  6
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Mnukanuka View Post

  Nitafute nitakufundisha wiki tu utatembe na matako saaaaaafi kabisa

  Sidhani kama unatakiwa kuishi Tanzania maana we huna tofauti na kirusi

 7. #7
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  9
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0
  KUMBE MNUKANUKA UNANUKA UFISADI NA MM NATAKA KUJUA NITAKUPATAJE

 8. #8
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  31
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Kilaza View Post
  KUMBE MNUKANUKA UNANUKA UFISADI NA MM NATAKA KUJUA NITAKUPATAJE
  sikushauri kumfuata mtu wa dizaini hiyo maana utapotea

 9. #9
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  30
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Jamani humu ndani mtu akiomba ushauri anatarajia kupata mawazo ambayo yataenda kuwa msaada kwa kile kilichomsukua kuomba ushauri au mawazo lakini naona wengi humu wanafanya mchezo kwa kutoa majibu mepesi katika masuala magumu, tuache hizo tuutumia MF vizuri kama lengo la walioianzisha

 10. #10
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  20
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Mpamato View Post
  Wadau naombeni msaada wenu wa mawazo; ninafanya kazi kwenye kakampuni flani hapo jijini Mbeya, nina mke na watoto wawili na msaidizi wa kazi hapa nyumbani. mshahara wangu kwa kweli ni sh. 400,000/- mtoto wangu wa kwanza anasoma hizi shule zetu za siku hizi za Kiinglish, huyu wa pili bado ananyoma. Tatizo nililonalo ni hili; nikishapata tu mshahara hela haitoshi kabisa katika kukidhi matumizi kwa familia yangu(Kulipa kodi ya nyumba, kulipa ada ya mtoto shule, kumlipa msaidizi wa kazi nyumbani, chakula, malazi nk) kila mwezi lazima nikope kwa Mangi. nimechoka sana hii tabia ya kukopa, wenzangu mnafanyaje mbona naona mnafanikiwa sana; mnajenga nyumba, mnanunua magari!!! Nipeni mawazo wadau nami niondokane na hili tatizo
  Hadi pale Yesu atakaporudi mkuu, kama hukuumiza kichwa chako utabakia unalalamika kila kukicha, uoga wako ndio umaskini wako.

 11. #11
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  157
  Rep Power
  6
  Likes Received
  11
  Likes Given
  0
  Ufisadi umeshawaingia watu kwenye damu mpaka mtu akiomba ushauri anaambiwa awe fisadi? nchi imefikia pabaya!

 12. #12
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  30
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Ulumba View Post
  Ufisadi umeshawaingia watu kwenye damu mpaka mtu akiomba ushauri anaambiwa awe fisadi? nchi imefikia pabaya!
  sasa unataka watajirike peke yao? kama njia ya kujikomboa katika maisha ni hiyo kwanini na sisi tusifanye, utabaki na ushanmba wako hivyo hivyo ache wenzio tutusue

 13. #13
  Senior Member Ngwindimba's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  235
  Rep Power
  6
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Ulumba View Post
  Ufisadi umeshawaingia watu kwenye damu mpaka mtu akiomba ushauri anaambiwa awe fisadi? nchi imefikia pabaya!
  hapo umenena ndugu yangu maana kila mtu anaamini kuwa ili afanikiwe katika maisha lazima afanye ufisadi hii ni hatua mbaya sana tumefikia na tusipoangalia tutateketea kabisa

 14. #14
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  17
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  utafananyaje na wewe unataka

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •