Mahakama kuu ya Rufaa mkoa awa Dar Imetoa hukumu ambayo Polisi wanapaswa kujifunza kuna baadhi ya amri ambazo hutolewa sio halali hivi ndivyo yalivyo mkuta Christopher Bageni akiwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa kipolisi Konondoni alitumia cheo hicho kuamrisha askari waue wafanyabiashara, Kama huyu polisi ali kula kiapo kutii sheria za jeshi na viongozi wake Mahakama imetenda haki kumhukumu aliyetoa amri safi kabisa na wengine wajifunze kutoa amri zisizo na maana hakuna aliye juu ya sheria