Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Moderator
  Join Date
  Apr 2015
  Posts
  1,067
  Rep Power
  6
  Likes Received
  21
  Likes Given
  0

  Wapiga kura wapewa hongo za mshine za kufulia Gabon

  Chama hicho cha Kidemocrasia nchini Gabon (PDG) kimekua kikitoa zawadi za simu za mkononi, friji, mashine za kufua nguo na vifaa vinginevyo vya matumizi ya nyumbani katika mji mkuu, Librevelle,.

  Zawadi hizo zilitolewa katika mkutano wa kisiasa uliohudhuriwa na maelfu ya watu wanaharakati na wafuasi wa chama cha PDG
  hakikisha hupitwi na habari

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: Wapiga kura wapewa hongo za mshine za kufulia Gabon

  Duuuuu afrika ina siasa za kishamba sana hii nusu kaputi tuliyopigwa sijui siku y akuja kuzinduka
  punda hajasoma lakini kazi hakosi

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •