Close

Results 1 to 7 of 7
 1. #1
  Junior Member dalalitz's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  10
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  MF DEVELOPERS CHUKUENI HII: WAPI JUKWAA LA BIASHARA?

  Naamini zipo sera mnazozingatia katika kufanikisha kazi nzuri mnayoifanya.
  Hatahivyo, katika kuliboresha zaidi jukwaa napendekeza liwepo pia JUKWAA LA BIASHARA.

  Naomba kuwakilisha.
  'Busara, ni zaidi ya ilmu'

 2. #2
  Super Moderator Masalu's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  1,095
  Rep Power
  10
  Likes Received
  76
  Likes Given
  41

  Re: MF DEVELOPERS CHUKUENI HII: WAPI JUKWAA LA BIASHARA?

  Shukrani Dalalitz kwa kuwa pamoja katika jukwaa hili, marekebisho tayari yameanza kufanyika na wakati wowote yataonekana wazi, katika marekebisho hayo ushauri wako ni mmoja katika na mengi yanayofanyiwa kazi. Kila unapoona kuna maboresho unayoamini yanafaa katika jukwaa hili milango ipo wazi.

 3. #3
  BAK
  BAK is offline
  Senior Member BAK's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Home Sweet Home
  Posts
  629
  Rep Power
  7
  Likes Received
  95
  Likes Given
  87

  Re: MF DEVELOPERS CHUKUENI HII: WAPI JUKWAA LA BIASHARA?

  Jukwaa la mambo ya utabibu muhimu sana na picha jamani hili la kuruhusu picha nalo ni muhimu na kuruhusu muonekano mkubwa si huu kiduchu kama ilivyo sasa.

  Natanguliza shukran.
  Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action.

 4. #4
  Super Moderator Masalu's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  1,095
  Rep Power
  10
  Likes Received
  76
  Likes Given
  41

  Re: MF DEVELOPERS CHUKUENI HII: WAPI JUKWAA LA BIASHARA?

  Quote Originally Posted by BAK View Post
  Jukwaa la mambo ya utabibu muhimu sana na picha jamani hili la kuruhusu picha nalo ni muhimu na kuruhusu muonekano mkubwa si huu kiduchu kama ilivyo sasa.

  Natanguliza shukran.
  Shukrani BAK, toka jukwaa hili lianze sasa umeshatimia mwezi mmoja, tumepokea mapendekezo zaidi ya 20 na yote yanafanyiwa kazi yakiwemo hayo yako. Kila kitu kinaenda vizuri na matumaini yetu siku chache zijazo yatakamilika. Tafadhari usisite kutushauri na kupendekeza kile kilichokuwa bora kwa jukwaa hili. Aksante

 5. #5
  BAK
  BAK is offline
  Senior Member BAK's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Home Sweet Home
  Posts
  629
  Rep Power
  7
  Likes Received
  95
  Likes Given
  87

  Re: MF DEVELOPERS CHUKUENI HII: WAPI JUKWAA LA BIASHARA?

  Ahsante Mkuu na kila la heri katika kazi ya uboreshaji wa majukwaa mbali mbali yaliyopo hapa na pia kuongeza mengine.

  Quote Originally Posted by Masalu View Post
  Shukrani BAK, toka jukwaa hili lianze sasa umeshatimia mwezi mmoja, tumepokea mapendekezo zaidi ya 20 na yote yanafanyiwa kazi yakiwemo hayo yako. Kila kitu kinaenda vizuri na matumaini yetu siku chache zijazo yatakamilika. Tafadhari usisite kutushauri na kupendekeza kile kilichokuwa bora kwa jukwaa hili. Aksante
  Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action.

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  137
  Rep Power
  7
  Likes Received
  9
  Likes Given
  11

  Re: MF DEVELOPERS CHUKUENI HII: WAPI JUKWAA LA BIASHARA?

  kitufe cha like jamanii, kina ongeza ufanisi na umakini wa thread

 7. #7
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: MF DEVELOPERS CHUKUENI HII: WAPI JUKWAA LA BIASHARA?

  Quote Originally Posted by kbosho View Post
  kitufe cha like jamanii, kina ongeza ufanisi na umakini wa thread
  Mkuu hicho kitufe cha muhimu ikiwezekana kiwekwe na cha Dislike!
  At the End of your rope Tie a Knot and Hold On.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •