Rais wa Nicaragua Daniel Ortega amemtaja mkewe kama mgombea mwenza na makamu wa rais wakati huu ambapo anawania kuchaguliwa kwa muhula mwengine.
Mkewe Rosario Murillo tayari ana wadhfa maarufu wa msemaji wa serikali na anaonekana kuwa anagawana mamlaka na mumewe.
Amekuwa akionekana katika runinga ya Nicaragua kila siku
Awali Rosario alikuwa msemaji wa Serikali ya nchi hiyo