Nimekutana na wafanya biashara kadhaa wa Mihogo na Nazi katika mizunguko yangu nimegundua wame fanya ubatizo usio Rasmi wa vyakula hivyo kwa kuviita ‘SALIO’ nikiwa katika gari ya umma maarufu (daladala) nilisikia sauti ya mwanamke akisema ‘Salio’salio’ ‘salio’ kwa fikra za haraka nilkijua anauza vocha…Lo!
Kwambalii naona beseni lenye Mihogo na Nazi anapo tukalibia nasikia sauti kutoka nyuma ya daladala iliyo panda ikisema “Tunalea” na shikwa na mshangao kwani kusema salio anamaana gani? Kume sio mimi peke yangu watu wanaanza kuulizana maswali tangulini mazo haya yaka itwa Salio hahaha kila Mtu alicheka na hatukupata majibu