Close

Results 1 to 3 of 3
 1. #1
  Junior Member kwangulijamtegowanoti's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  16
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  JINSI YA KURUSHA VIDEO

  Wana MF najua humu kumesheeni wataalam,walimu na mafundi wa kila aina.
  Naomba mnijuze nina fanya kazi kurekodi video katika kumb za sherehe mbalimbali,nataka niweze kurekodi halafu na kuirusha Live hadi Ukumbi mwingine ambao upo kama mita 300,je nittumie chombo gani kitakacho niwezesha kurusha na wale waliopo Ukumbi mwingine waione sherehe kwenye sreen iliopo Ukumbini? Natanguliza shukranii nikiamni kwamba nitapata msaada stahiki.

 2. #2
  Junior Member kwangulijamtegowanoti's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  16
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: JINSI YA KURUSHA VIDEO

  Hivi ni kweli jukwaa hili halina wataalam wa mambo ya urushaji wa video? au labada wapo bussy na mambo mengine!

 3. #3
  Senior Member Albert's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Arusha
  Posts
  128
  Rep Power
  7
  Likes Received
  9
  Likes Given
  8

  Re: JINSI YA KURUSHA VIDEO

  TAFUTA WIRELESS VIDEO SENDER + RECEIVER YENYE UWEZO WA KURUSHA MT 500
  Truth shall set you free

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •