Close

Results 1 to 4 of 4
 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  10
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  - Mwenye hoja nzuri hebu atueleze namna shule za kata zilivyochangia kukuza yetu

  - Mwenye hoja nzuri hebu atueleze namna shule za kata zilivyochangia kukuza elimu ya Tanzania

 2. #2
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  21
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Gwegwe View Post
  - Mwenye hoja nzuri hebu atueleze namna shule za kata zilivyochangia kukuza elimu ya Tanzania

  ukiamua kuingia kwenye MF jaribu kutuliza akili yako na kutuandikia mada zenye nguvu kwani unaandika mada fupi sana ambazo kimsingi unarudia kichwa cha h=habari yao. hakuna kilichochangiwa na shule za kata kwani kuna majengo tu, elimu hakuna

 3. #3
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  6
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: - Mwenye hoja nzuri hebu atueleze namna shule za kata zilivyochangia kukuza yetu

  Kimsingi haijakuza elimu kwa namna ya kujadilika na kuleta mashiko. Ila imefanya vijana wetu atleast kufahamu kitu hiki "Alaa kumbe elimu ya sekondari ipo hivi"
  Kwenye ufaulu hamna kitu.
  Ushauri kwako mleta mada " Jitahidi unapo leta mada jipange ulete japo muhtasari wa kile ukiendeacho. Kwa mada hii ni dhahiri hukujipanga vya kutosha kuweka uliyo ya wasilisha.
  Mungu ibariki Tanzania.

 4. #4
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  5
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: - Mwenye hoja nzuri hebu atueleze namna shule za kata zilivyochangia kukuza yetu

  Hatuwezi kusena shule za kata hazijachangia kukua kwa elimu ya nchi hii....Kwani kuna wanafunzi kutoka shule za kata wamefanikiwa kusoma na hata kujiunga na elimu ya juu... shule zilizokuwepo mapema kama Mzumbe,Tabora boys,Kibaha,na nyingine kongwe zisingetosha kulingana na idadi ya watanzania kuongezeka, hivyo hitaji la elimu kuwa kubwa...hivo njia mbadala ilikuwa mhm kuchukuliwa na ndo hizo shule za kata zilizotumika kama altenative...hata hivo wapo wanafunz wengi bora ambao wamepita katika shule za kata na wanauwezo mzuri kitaaluma kama wale waliosoma shuke kongwe...ni hazina kwa taifa....pia ni shule za kata hizo ndizo zinachukuwa idadi kubwa ya wanafunzi ambao wachache kati yao hufanikiwa kufikia elimu ya juu na hata kuajiliwa na kuwa wafanyakazi bora..NI FAIDA KWA TAIFA...ipo mifano... mwaka 2011kati ya wanafunzi 20(male and female) waliofaulu vizuri mtihani ya kidato cha sita walitoka shule za kata katika elimu yao ya olevel...pia shule kama Vwawa iliyoko mbozi iliyoanzishwa kama ya kata ilikuwa miongoni mwa shule kumi bora...Mwaka 2012 MADIBIRA sekondary iliyoko Mbalali Mbeya ilikuwa ya 11 kitaifa shule zilizofanya vizr kidato cha sita wakat ikiwa imeanzishwa kama shule mbadala ya a level ili kuweza kuakomodate wanafunzi wanaongezeka idadi kila siku na kukosa shule za Alevel za selikal yaan kongwe ambazo hazitoshi....Tusizidharau ingawa zinamapungufu yake.....naomba kuwasilisha....MUNGU IBARIKI TANZANIA

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •