Close

Results 1 to 5 of 5
 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  18
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  KUWAPA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WALIMU WA DIPLOMA KUTASHUSHA ELIMU TANZANIA!

  Kuendelea na walimu wa diploma kama walimu wakuu wa sekondari ni hatari sana, hii inatokana na walimu wanaokua chini yake wengi kuwa na shahada, kwahiyo walimu wamzarau na pengine mwenyewe kuwaogopa walimu wake, pia wengi wanahisi siku yeyote atapoteza nafasi yake kwahiyo anakua na matumizi mabovu ya pesa ya shule, kwa ushauri tu serikali wangewatoa mapema ili hizi shule zisipate mazara makubwa!

 2. #2
  Junior Member Kimbori's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  18
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: KUWAPA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WALIMU WA DIPLOMA KUTASHUSHA ELIMU TANZANIA!

  Sera ya Elimu na Utamaduni, 1995 inataka waalimu wenye shahada, na uzoefu. Bado pia katika sera kuna utata, kwa kuwa sera hiyo hiyo inasema shule za kata na msingi zinaweza kuongozwa na waalimu wenye stashahada.
  Kadiri ya hali ya sasa, walimu wenye stashahada wanapata sana tabu kuongoza. Wengi wao ni wazee, na wanaongoza kwa mazoea - hawakubali mabadiliko. Ninavyojua, shule nyingi zinaongozwa na wakuu wenye shahada.
  Katika matendo yako yote kumbuka mwisho wako, nawe hutatenda dhambi kamwe - YbS. 7:36

 3. #3
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  7
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  Re: KUWAPA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WALIMU WA DIPLOMA KUTASHUSHA ELIMU TANZANIA!

  Ninacho hitaji kuandika katika jukwaa hili ni kuwa ; Sidhani wala kufikiri kuwa elimu anayohold mtu ndio iwekigezo kikubwa na chakwanza kumtafsiri mhuska bali napenda kuandika kuwa uwajibikaji,weledi,mtazamo na uwezo wa mhusika kufanya kazi husika ,vipewe kipaumbele kisha elimu ya mhusika.

 4. #4
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  88
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: KUWAPA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WALIMU WA DIPLOMA KUTASHUSHA ELIMU TANZANIA!

  Uwezo wa kuongoza watu sio mpaka shahada.
  Siku hizi shahada za kitanzania ni za kichina.
  Watu hawajui chochote pamoja na shahada zao. Tukiwapa shule zetu wat wenye shadaha pekee ndio tunaziua kabisaaaa!!!
  Tuache siasa ktk elimu yetu

 5. 02-02-2014, 08:54

  Junior Member


 6. #5
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  7
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  Re: KUWAPA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WALIMU WA DIPLOMA KUTASHUSHA ELIMU TANZANIA!

  Quote Originally Posted by alemi ima View Post
  Uwezo wa kuongoza watu sio mpaka shahada.
  Siku hizi shahada za kitanzania ni za kichina.
  Watu hawajui chochote pamoja na shahada zao. Tukiwapa shule zetu wat wenye shadaha pekee ndio tunaziua kabisaaaa!!!
  Tuache siasa ktk elimu yetu
  Hapo yupoDr; Kawambwa mh; chezea Dr; Shukuru ww, form 2 hakuna kufeli bali taifa lita2mia fedha nyingi katika kuandaa, kusimamia , kusahihisha mitihani hiyo kisha inatiwa kapuni, sasa najiuliza si vyema mitihani hii inge andaliwa hukohuko kwenye shule husika basi , ama kama sirikali inaona ni ufahari basi ingeendeshwa kikata 2ngepunguza hizi gharama kubwa kiasi hichi wakati shule hizo hizo maabara hazifai,makazi ya waalim ndo usiseme kabsa,mahospitali hawakawii kusema, "hizi dawa hapa ha2na kachukue duka fulani".
  aaha!! bwan hii ndo Tz ya Nyerere,samahini kama ntakuwa nmekose mnirekebishe, hii tz ya JK ama ?
  Last edited by MV Salama; 02-02-2014 at 09:28.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •