Kwa yeyote anayefahamu dada huyu kapoteza cheti chake kimeokotwa kwenye Gari Amtafute mwenye Namba 0759484897 iliaweze kupata cheti chake