Close

Results 1 to 10 of 10
 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  10
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  - Hii kali Kisarawe kuna gongo inayotengezwa kwa nguo chafu, zinachemshwa weeeee

  - Hii kali Kisarawe kuna gongo inayotengezwa kwa nguo chafu, zinachemshwa weeeee sasa mvuke wake ni hatari.

 2. #2
  Senior Member Servant's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  177
  Rep Power
  7
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0
  Nasikia ukinywa leo, kilevi chake hakiishi mpaka unywe nyingine. Ni kweli? Na kama siyo kweli, ukweli uko wapi?

 3. #3
  Senior Member Mchambawima's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  152
  Rep Power
  7
  Likes Received
  2
  Likes Given
  1
  Servant: Nami nimesikia kwamba gongo hiyo ya nguo chafu ukinywa kilevi chake hakiishi mpaka unywe nyingine. Sasa sasa mimi kwa kuwa simulizi hizi zimekuwa nyingi, nimepanga wiki ijayo kutoka hapa Zenji na kuja Kisarawe kuja kuijaribu.

 4. #4
  Senior Member Kipara Bonge's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  478
  Rep Power
  7
  Likes Received
  41
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Mchambawima View Post
  Servant: Nami nimesikia kwamba gongo hiyo ya nguo chafu ukinywa kilevi chake hakiishi mpaka unywe nyingine. Sasa sasa mimi kwa kuwa simulizi hizi zimekuwa nyingi, nimepanga wiki ijayo kutoka hapa Zenji na kuja Kisarawe kuja kuijaribu.

  Niwekeeni kidumu kimoja. Nakuja kupata ukweli. Kama uongo mtaanikoma.

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  7
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7
  He ! kumbe watu hunywa nguo!!

 6. #6
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  21
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Dah Watanzania kwa kugundua vitu ni hatari lakini ntatizo letu tunagundua mambo mengi kwa sababu ya njaa tulizokuwa nazo, mambo mengi yanayogunduliwa ukiyafuatilia utakuta ni kwa sababu ya kukwepa gharama flan, tutawaua watu kwa njaa zetu

 7. #7
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  10
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  HILO GONGO LITAKUWA NA HARUFU YA NAMNA GANI, DU! MI NADHANI SERIKALI INGERUHUSU GONGO IUZWE KISHA IWEKEWE KODI KUBWA SANA ILI WATU WANUNUE BIA YA VIWANDANI.

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  123
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0
  Gongo ya nguo chafu? Hayo makubwa sasa.

 9. #9
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  46
  Rep Power
  0
  Likes Received
  2
  Likes Given
  1
  UKISTAAAJABU YA LOWASA UTAYAONA YA MEMBE

 10. #10
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: - Hii kali Kisarawe kuna gongo inayotengezwa kwa nguo chafu, zinachemshwa weeeee

  Kumbe Ethanol inapendwa kiasi hiki...
  At the End of your rope Tie a Knot and Hold On.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •