Reila Odinga amealikwa na Uhuru Kenyatta kushiriki kikao maalumu kujadili maswala mbalimbali kuhusu mstakabali wa nchi ya Kenya ikiwa mwaka huu inatarajiwa kuingia katika uchaguzi mkuu

Huku wafuasiwa chama kikuuu cha upinzani nchini hu,mo cha ODM kikiendelea na maandamano yakushinikiza kuondolewa kwa Tume ya uchaguzi kwakukosa imani nayo

Odinga amenukuliwa akisema

''Nilipokea simu kutoka ikulu ya mkutano na rais Uhuru Kenyatta.Naomba ruhusa yenu watu wa Narok nielekee kuzungumza naye,alinukuliwa na gazeti la Daily Nation akiwaambia waombolezaji.Nitatangaza kwa Wakenya iwapo tumekubaliana na iwapo hatujakubaliana pia nitawaelezea'', aliongezea bw Odinga.