Close

Results 1 to 3 of 3
 1. #1
  Moderator
  Join Date
  Apr 2015
  Posts
  1,067
  Rep Power
  6
  Likes Received
  21
  Likes Given
  0

  Naibu waziri aliye timuliwa kwakosa la kusambaa picha zake za kujichua

  Rais Joseph Kabila amemfukuza kazi Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano Enock Ruberangabo Sebineza, sababu ya kuvuja kwa picha zake mitandaoni zikimuonyesha akijichua(Punyeto) ofisini naibu waziri huyo mwenye miaka 54 picha zake zimesambaa katika mitandao ya kijamii nchini humo zikimwonyesha akifanya tukio hilo.


  hakikisha hupitwi na habari

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Nov 2015
  Posts
  133
  Rep Power
  5
  Likes Received
  4
  Likes Given
  2

  Re: Naibu waziri aliye timuliwa kwakosa la kusambaa picha zake za kujichua

  duuuuuuuuuuu namwonea huruma sana angeli jaaa kwenye kiganja cha Magufuli sijui angeli mfanya nini maana .............loadingi
  Chama Imara CCM Daima]

 3. #3
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2015
  Posts
  29
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  1

  Re: Naibu waziri aliye timuliwa kwakosa la kusambaa picha zake za kujichua

  wasije wakawa wamemfanyizia. Picha za kutengeneza pia zipo!

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •