MKU WA MKOA WA DAR POUL MAKONDA ATUELEZE WATANZANIA AMEKUSANYA NA KUTUMIA KIASI GANI KUENDESHA KAMPENI YA USAFI LEO?
KAMPENI HIYO ALIYOIFANYA LEO YA KUZUNGUKA NA WAUZA SURA WA BONGO MOV NA BONGO FLEVA WALIOVALIA RABA NA MAPETE YA DHAHABU, HUKU WENGINE WAKIWA WAMEVALIA SARE ZA MAFLANA JE WALIKUJA BURE?
SITAKI KUAMINI KAMA WAMEKUJA BURE...ATUELEZE UKWELI MAANA HATA MATANGAZO YALIRUSHWA KWENYE TV NA RADIO JE YAMEGHARIMU KIASI GANI? SITAKI KUAMINI KAMA YALIRUSHWA BURE.

MAKONDA ASIJE KUWA MPIGAJI KAMA WAPIGAJI WENGINE TU SEMA KWA
KUWA NI MKUU WA MKOA WATU WAOGOPE KUHOJI.