Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Super Moderator Masalu's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  1,095
  Rep Power
  10
  Likes Received
  76
  Likes Given
  41

  MHE. KAFANA MUSSA NDIYE NAIBU MEYA JIJI LA DAR


  Naibu Meya wa Jiji la Dar Es Salaam amepatikana leo hii. Huyu ni Mhe. Kafana Mussa, ni diwani wa kata ya Kiwalani jimbo la Segerea kupitia CUF/UKAWA. Amepata kura 16 dhidi ya 10 za mgombea wa CCM.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: MHE. KAFANA MUSSA NDIYE NAIBU MEYA JIJI LA DAR

  CCM hawana akili kwahiyo bado walikuwa wanaamini wanaweza kushinda au walikuwa wanaenda kutimiza wajibu
  punda hajasoma lakini kazi hakosi

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •