Close

Results 1 to 5 of 5
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Mke wa Godbless Lema na dada yake wanasakwa na polisi kwa tuhuma za wizi wa kimtandao

  Mke wa Godbless Lema na dada yake aitwaye Roselyne G Tarimo wanasakwa na jeshi la polisi kituo cha msimbazi Dar kwa RB no MS/RB/282/16.wanatuhumiwa kughushi nyaraka ofisi ya msajili wa makampuni (Brela) na hatimae kupora/kuiba/kudhulumu kampuni iitwayo SENKONDO'S EXPORT AND IMPORT CO LTD yenye usajili wa brela namba 45729.

  Neema Godbless akijua hakuwa mwanahisa (subscriber) wala mkurugenzi wa kampuni walitengeneza company resolution na kui sign na hatimae kufanya lobbying ofisi ya msajili wa makampuni kwa kusaidiwa na mumewe GODBLESS J LEMA (MB)ili Brela wakubali resolution hiyo kwa kutoa rushwa pasipo kuwashirikisha wanahisa.

  Lakini pia wanatuhumiwa kwa uhalifu wa kimtandao kwa kuingilia mawasiliano ya email ya ndugu Kwayu na kubadili nywila ivo kumnyima access ya kutumia email adress yake.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: Mke wa Godbless Lema na dada yake wanasakwa na polisi kwa tuhuma za wizi wa kimta

  Huku ni kuchafuana tu kwenye mitandao tunataka taarifa kamaili kutoka jeshi la polisi wewe endelea kufanya kazi yako ya unazi

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: Mke wa Godbless Lema na dada yake wanasakwa na polisi kwa tuhuma za wizi wa kimta

  Huyu Mke Lema kuna haja apekuliwe inawezekana baada ya Mume wake kuwa Mbunge huwenda ameridhi mikoba yake ya wizi wa magari

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Mke wa Godbless Lema na dada yake wanasakwa na polisi kwa tuhuma za wizi wa kimta

  Quote Originally Posted by Francis Pungumwai View Post
  Huku ni kuchafuana tu kwenye mitandao tunataka taarifa kamaili kutoka jeshi la polisi wewe endelea kufanya kazi yako ya unazi
  Sidhani kama kuna kuchafuana hapa

 5. #5
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Mke wa Godbless Lema na dada yake wanasakwa na polisi kwa tuhuma za wizi wa kimta

  Mkishindwa kwa hoja mnakimbilia bunduki na mabomu pumbavu zenu.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •