KATIKA VIONGOZI WASIONINOGEA DUNIANI NI PAUL MAKONDA MKUU WA MKOA WA DAR. UTENDAJI WAKE HAUZINGATII MAADILI YA UONGOZI, ANAFANYA KAZI KWA KUKURUPUKA, HASHAULIANI NA VIONGOZI WENZAKE WALIOPO CHINI YAKE WALA JUU YAKE. ANAJIONA YEYE NDO YEYE KISA ANACHEO CHA KUPEWA NA MAGUFULI. KUBWA LILILONIKERA PIA NAONA LIMEMSHUSHIA HADHI YEYE MWENYEWE NI HILI ALILOROPOKA JUZI KWAMBA OMBAOMBA WOTE WAONDOKE BARABARANI KASAHAU KAMA KUNAWALEMAVU? WASIOJUA PAKULA WALA KULALA? KASAHAU KUW KUNA YATIMA WALIOTOKA KWA WALEZI WAO KUTOKANA NA MATESO?

USHAURI:NINGEKUONA UNAAKIRI ENDAPO UKAFANYA UCHUNGUZI JUU YA OMBA OMBA HAO UKATAMBUA MATATIZO YAO NA KUWABAINI WENYE SHIDA ZA UKWELI NA WAIGIZAJI KULIKO KUKURUPUKA KUCHUKUA HATUA BILA UTHIBITISHO. WASAIDIE WATANZANIA WENZIO KWA KUWAHIFADHI SEHEMU MBONA MAENEO YAPO MENGI TU?