Close

Page 2 of 2 FirstFirst 12
Results 26 to 42 of 42
 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Mar 2016
  Posts
  26
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Click image for larger version. 

Name:	Masika.jpg 
Views:	211 
Size:	12.7 KB 
ID:	1452 Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt Richard Masika Mushi

  Hivi ndivyo inavyoweza kusemwa maana hakika habari za ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi yanayofanywa na Menejimenti ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) ni mambo yanayofahamika kwa wanajumuiya ya chuo na pia yameripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari.

  Si jambo la siri kwamba Menejimenti ya chuo (ATC) imefanikiwa kufanya chuo hiki ambacho ni mali ya serikali chini ya Wizara ya Elimu kama shamba la bibi. Hivi sasa zinafanyika jitihada kubwa ili kuweza kufukia baadhi ya maeneo yanayoweza kufukiwa kwa kupika mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na taarifa ya idadi ya wanafunzi pamoja na idadi ya wafanyakazi katika vipindi tofauti tofauti.

  Katika hali ya usiri mkubwa, kuna jitihada kubwa sana zinafanywa za kununua risiti za malipo mbalimbali kuanzia mwaka 2010/11 ili zitumike kujazia maeneo yenye mashaka. Kuna mashaka makubwa kwa uongozi wa chuo kuwa kampuni ya ukaguzi ya MM Micro Business Consultants waliokuwa wakifanya kazi za ukaguzi wa hesabu za Chuo kwa muda wa miaka 6 mfululizo inaweza isiendelee na kazi ya ukaguzi wa hesabu za chuo kuanzia mwaka huu wa fedha 2016/17 kama ilivyokuwa imezoeleka.

  Katika kipindi cha kuanzia mwaka 2010 mpaka sasa kuna hujuma, ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi yamekuwa yanafanyika lakini hakuna hatua za makusudi zilizochukuliwa kurekebisha hali hiyo kwa kuwa inafahamika kwamba kwa kiwango kikubwa Bodi ya chuo ni sehemu ya ufisadi huu unaolalamikiwa na wafanyakazi wengi.

  Kwa kutambua kwamba sehemu kubwa ya hesabu za chuo haijakaa vizuri na kwa kutambua kwamba Mkaguzi wa hesabu za chuo anaweza kubadilika na kwa kutambua kwamba Serikali ya Rais Magufuli haina mchezo na watendaji wanaoonesha dalili za tabia mbaya ya wizi wa mali za serikali risiti za kufukia mashimo yaliyopo zinatafutwa kwa nguvu kubwa.

  Pamoja na kutumia ujanja huu pamoja na kufanya ushawishi wa kulainisha baadhi ya watendaji wasio waaminifu kwa njia ya kutumia fedha hiihii iliyopatikana kwa njia ya ufisadi lakini bado uongozi wa chuo una hofu ya kutumbuliwa na Serikali makini ya Rais Magufuli. Hata hivyo huenda mbinu za menejimenti hii zikafanikiwa na hivyo kutoguswa licha ya ukweli unaojulikana kwamba kuna ufisadi uliofanywa chuoni. Hili ni tatizo kubwa kwani licha ya kuliingizia Taifa hasara, Ustawi wa chuo unazidi kudorora siku hadi siku hasa ikizingatiwa kwamba mishahara ya watumishi wapatao 25 ilitumika au ililiwa kwa njia ya kifisadi katika mazingira yenye utata mkubwa.

  Menejimenti inayotuhumiwa na kulalamikiwa kwa kujichotea fedha za umma bila kujali imekataa kuwajibika walao kupisha uchunguzi. Pia Bodi ya chuo imeshindwa kuchukua hatua zozote licha ya taarifa kusambaa chuoni kwamba kuna kila dalili kwamba viongozi watatu wa juu wa chuo ni majipu. Zaidi ya kiasi cha Tsh 3,600,000,000/= kinakadiriwa kuliwa kwa njia za kifisadi. Hiki ni kiasi kikubwa sana cha fedha ya walipa kodi, na ni kiasi kikubwa sana kwa kuzingatia kwamba wanafunzi wengi wanataabika kwa kukaa mitaani kwa kukosa mabweni ya kulala.

  Mmoja wa watuhumiwa wanaodaiwa kuwa ni majipu, alisikika akijitapa kwamba “ukiwa mtu wa mfumo hupati shida hata siku moja. Tumepiga mahela ya nguvu hapa lakini TAKUKURU wanatuamkia Shikamoo, kuna hata bosi wao mmoja alihamishwa alipewa kiasi cha kutosha kujenga nyumba, hao bwana wadogo watapiga kelele tu”. Mkuu wa Chuo pale, ana network kubwa ukienda ofisini kwake ana picha alizopiga na waheshimiwa kibao, unafanya mchezo, alisikika akijigamba bosi huyo.

  Mtuhumiwa huyo aliendelea kusema “ukiona watu wakitangaza kwenye vyombo vya habari wametumbua majipu elewa kuna chuki binafsi bradha, hakuna cha majipu wala nini” Unategemea mtu mwenye mtandao mpana kama Masika atumbuliwe? Aliuliza BOSI huyo anayependa sana kuitwa BOSI. Huenda maneno ya BOSI huyu yakawa na ukweli fulani. Ikiwa kuna ukweli kwa aliyosema bosi huyu, basi Serikali ya Mh Rais Magufuli itakuwa na kazi ya ziada ya kupiga vita na kuondokana na UFISADI serikalini.

  Pamoja na maneno ya BOSI huyu, bado wanajumuiya wengi wa chuo pamoja na wananchi wengi wana imani na kazi nzuri anayoifanya Rais Magufuli na pia kazi nzuri inayofanywa na Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako. Hatua kwa hatua watafika Chuo cha Ufundi Arusha na hapo watapata kujua ukweli wote na kurekebisha kila kinachofaa kurekebishwa.
  Last edited by Juma Joseph; 21-07-2016 at 21:03.

 2. #26
  Junior Member
  Join Date
  Mar 2016
  Posts
  28
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Loh, inaonekana jipu au majipu ya hiki chuo ni ya siku nyingi na kwa sasa yatakuwa yameiva, na hivyo kuwa tayari kwa kutumbuliwa!

 3. #27
  Member
  Join Date
  Jan 2015
  Posts
  44
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  1

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Quote Originally Posted by TUA View Post
  Hakuna mahali popote ambapo Serikali imechafuliwa na hao anaodai utemi. Hao wanapiga vita na kuitaarifu serikali juu ya mambo machafu na wizi unaofanywa na utemi na Genge lake la wahuni. Anayepigwa vita kwa vitendo vyake viovu ni Utemi na Genge lake, ambapo wameitia hasara Serikali tunayoitetea kwa kuiba kiasi Cha Tsh 1.4 bilioni kutoka jengo la madarasa la Umwagiliaji lililojengwa hivi karibuni. Utemi na Genge lake wamefika mahali hawatoi haki kwa wafanyakazi akina dada, mpaka waombe ngono, hii ni aibu kwa Serikali wanayoitumika ndiyo maana tunaiambia iwachukulie hatua. Bado tunaiambia Serikali kuwa Utemi na Genge lake wamevuka mipaka sasa kwa sababu wamehamishia ngono mpaka kwa wanafunzi, na tunahofia wataambukiza watoto wetu ukimwi.
  Utemi na Genge lake baada ya Ujenzi wa Jengo la umwagiliaji wamechukua matofali yapatayo 20,000 na kwenda kufanyia shughuli zao binafsi, huo ndio uungwana? Mheshimiwa Rais, anasisitiza ujenzi wa madarasa, utengenezaji wa madawati, na maabara, nyie hamna aibu kuchukua mali ya umma hadharani na kwenda kufanyia shughuli binafsi? Matofali 20,000 yangetosha kujenga maabara ngapi za Sekondari?

  Utemi na Genge lake ni hivi majuzi tu, wameitia Serikali hasara, baada ya kulipa hela zaidi ya milioni 10, kwenye akaunti ya Chuo kimoja huko Malaysia, ili mwalimu wa lapidary (Binti mrembo) akasome lakini baada ya kuwakatalia ngono alinyimwa asiende na hiyo hela kupotea. Baada ya kumfrasteti, na baada ya kukataa hiyo tabia yao chafu, walimuandama kwelikweli, mpaka binti wa watu ameacha kazi, hii pia ni hasara kwa Serikali. Haya ndiyo matendo ambayo utemi na kundi lake yakiripotiwa anasema Serikali inachafuliwa. Hivi kumbe Utemi na kundi lao ndio Serikali? Kwa hiyo matendo yao machafu yakipigwa vita ni Serikali inachafuliwa? Serikali iko vizuri, utemi na Genge lake la wahuni ndio wanaichafua. Chuo kimepewa shamba la Oljoro, ili wanafunzi wa Civil and irrigation waweze kufanta mafunzo yao ya vitendo huko, lakini mpaka leo hakuna chochote kilichofanyika kuendeleza shamba hilo. Hata pesa wanazotoa wahisani kuendeleza shamba hilo inasemekana utemi na kundi lake wamezifuja.

  Katika usaili uliofanyika mwezi wa Tano, inasemekana utemi alimtengenezea cheti feki ndugu yake aliyemleta kutoka kijijini kwao kibosho ili apate ajira. Kama siyo Sekretarieti ya ajira, kuwa ngangari kijana huyo ambaye ni darasa la saba alishapata kazi kwa cheti feki. Haya yakipigwa vita, utemi anasema eti Serikali inachafuliwa. Mnamo January, 2014 Utemi na kudi lake walichikichia mishahara ya wafanyakazi 25, na kuwafanya wasione mishahara hiyo mpaka leo, watu waliokuwa wanaanza maisha, haya ndiyo mambo ambayo utemi na kundi lake hawataki yaripotiwe.

  Kuonyesha jinsi Utemi anavyoihujumu Serikali ni pale alipojitoa ufahamu kwa kujaza majina ya ndugu zake na wa kabila moja kwenye bodi ili aweze kuhujumu vizuri. Hapa kati ya watu 11 kwenye bodi 6 ni wa kabila lake yaani kutoka uchagani. Hapa ndipo tunapomuona Utemi kuwa haitendei haki Serikali, bali ana nia ya kujinufaisha mwenyewe na watu wa kwao. Haiingii akilini kukuta, Mkuu wa Taasisi ni Mchagga, halafu asilimia 60 ya wajumbe wa bodi hiyo ni Wachagga. Lazima kuna kitu.

 4. #28
  Member
  Join Date
  Dec 2014
  Posts
  78
  Rep Power
  6
  Likes Received
  3
  Likes Given
  1

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Quote Originally Posted by utemi View Post

  - - - Updated - - -

  Click image for larger version. 

Name:	7640_10153996847952487_1296214619587581403_n.jpg 
Views:	114 
Size:	28.1 KB 
ID:	1507

  Tembo a.k.a Victor Meena bado upo bize kupotosha umma. Tangu ufukuzwe kazi upo bize kwenye mitandao ukichafua Chuo na Serikali. Hongera sana lakini kumbuka kuna sheria ya makosa ya mtandao mzee. endelea na propanda zako tu. Time will tell
  Utaita majina yote unayoweza kuita, vijana wanasema piga, ua, garagaza, huwezi kuficha ufisadi unaofanywa na waliopewa dhamana ya kuongoza chuo. Aminisha umma chochote unachotaka hujakatazwa, lakini ukweli utabaki kuwa ukweli.

  Naona kila ukilala unamwota huyo mpenzi wako Victor Meena, alikubikiri au alikufanya nini?

 5. #29
  Junior Member
  Join Date
  Mar 2016
  Posts
  26
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Huyu Utemi anawakilisha chuo na kitangazo chake kisicho na tarehe wala saini na ambacho hakina ufafanuzi wowote wa hoja za msingi, umeona na kusoma hayo yaliyoandikwa au mmekurupuka tu?

  Vyombo vya habari vimeandika na siyo mara moja na vimeandika kuhusu hoja nzito, kama ni uwongo na upotoshaji hao wanaotuhumiwa walichukua hatua gani zaidi ya haka katangazo kasiko na kichwa wala miguu? Nawashauri mrudi mkajipange upya.

  Click image for larger version. 

Name:	IMG_0081.jpg 
Views:	93 
Size:	21.7 KB 
ID:	1526

  Click image for larger version. 

Name:	IMG_0089.jpg 
Views:	90 
Size:	23.2 KB 
ID:	1527
  Last edited by Juma Joseph; 09-07-2016 at 11:01.

 6. #30
  Member
  Join Date
  Jan 2015
  Posts
  44
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  1

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Quote Originally Posted by TUA View Post
  Hakuna mahali popote ambapo Serikali imechafuliwa na hao anaodai utemi. Hao wanapiga vita na kuitaarifu serikali juu ya mambo machafu na wizi unaofanywa na utemi na Genge lake la wahuni. Anayepigwa vita kwa vitendo vyake viovu ni Utemi na Genge lake, ambapo wameitia hasara Serikali tunayoitetea kwa kuiba kiasi Cha Tsh 1.4 bilioni kutoka jengo la madarasa la Umwagiliaji lililojengwa hivi karibuni. Utemi na Genge lake wamefika mahali hawatoi haki kwa wafanyakazi akina dada, mpaka waombe ngono, hii ni aibu kwa Serikali wanayoitumika ndiyo maana tunaiambia iwachukulie hatua. Bado tunaiambia Serikali kuwa Utemi na Genge lake wamevuka mipaka sasa kwa sababu wamehamishia ngono mpaka kwa wanafunzi, na tunahofia wataambukiza watoto wetu ukimwi.
  Utemi na Genge lake baada ya Ujenzi wa Jengo la umwagiliaji wamechukua matofali yapatayo 20,000 na kwenda kufanyia shughuli zao binafsi, huo ndio uungwana? Mheshimiwa Rais, anasisitiza ujenzi wa madarasa, utengenezaji wa madawati, na maabara, nyie hamna aibu kuchukua mali ya umma hadharani na kwenda kufanyia shughuli binafsi? Matofali 20,000 yangetosha kujenga maabara ngapi za Sekondari?

  Utemi na Genge lake ni hivi majuzi tu, wameitia Serikali hasara, baada ya kulipa hela zaidi ya milioni 10, kwenye akaunti ya Chuo kimoja huko Malaysia, ili mwalimu wa lapidary (Binti mrembo) akasome lakini baada ya kuwakatalia ngono alinyimwa asiende na hiyo hela kupotea. Baada ya kumfrasteti, na baada ya kukataa hiyo tabia yao chafu, walimuandama kwelikweli, mpaka binti wa watu ameacha kazi, hii pia ni hasara kwa Serikali. Haya ndiyo matendo ambayo utemi na kundi lake yakiripotiwa anasema Serikali inachafuliwa. Hivi kumbe Utemi na kundi lao ndio Serikali? Kwa hiyo matendo yao machafu yakipigwa vita ni Serikali inachafuliwa? Serikali iko vizuri, utemi na Genge lake la wahuni ndio wanaichafua. Chuo kimepewa shamba la Oljoro, ili wanafunzi wa Civil and irrigation waweze kufanta mafunzo yao ya vitendo huko, lakini mpaka leo hakuna chochote kilichofanyika kuendeleza shamba hilo. Hata pesa wanazotoa wahisani kuendeleza shamba hilo inasemekana utemi na kundi lake wamezifuja.

  Katika usaili uliofanyika mwezi wa Tano, inasemekana utemi alimtengenezea cheti feki ndugu yake aliyemleta kutoka kijijini kwao kibosho ili apate ajira. Kama siyo Sekretarieti ya ajira, kuwa ngangari kijana huyo ambaye ni darasa la saba alishapata kazi kwa cheti feki. Haya yakipigwa vita, utemi anasema eti Serikali inachafuliwa. Mnamo January, 2014 Utemi na kudi lake walichikichia mishahara ya wafanyakazi 25, na kuwafanya wasione mishahara hiyo mpaka leo, watu waliokuwa wanaanza maisha, haya ndiyo mambo ambayo utemi na kundi lake hawataki yaripotiwe.

  Kuonyesha jinsi Utemi anavyoihujumu Serikali ni pale alipojitoa ufahamu kwa kujaza majina ya ndugu zake na wa kabila moja kwenye bodi ili aweze kuhujumu vizuri. Hapa kati ya watu 11 kwenye bodi 6 ni wa kabila lake yaani kutoka uchagani. Hapa ndipo tunapomuona Utemi kuwa haitendei haki Serikali, bali ana nia ya kujinufaisha mwenyewe na watu wa kwao. Haiingii akilini kukuta, Mkuu wa Taasisi ni Mchagga, halafu asilimia 60 ya wajumbe wa bodi hiyo ni Wachagga. Lazima kuna kitu.
  Click image for larger version. 

Name:	7640_10153996847952487_1296214619587581403_n.jpg 
Views:	98 
Size:	28.1 KB 
ID:	1528
  Click image for larger version. 

Name:	sheria_-_the_cyber_crimes_act_-_final-15.jpg 
Views:	95 
Size:	40.3 KB 
ID:	1529

  Tembo upo bize sana... ila kukumba kuna sheria ya makosa ya mtandao !

 7. #31
  Member
  Join Date
  Jan 2015
  Posts
  44
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  1

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  =Juma Joseph;56661]Huyu Utemi anawakilisha chuo na kitangazo chake kisicho na tarehe wala saini na ambacho hakina ufafanuzi wowote wa hoja za msingi, umeona na kusoma hayo yaliyoandikwa au mmekurupuka tu?

  Vyombo vya habari vimeandika na siyo mara moja na vimeandika kuhusu hoja nzito, kama ni uwongo na upotoshaji hao wanaotuhumiwa walichukua hatua gani zaidi ya haka katangazo kasiko na kichwa wala miguu? Nawashauri mrudi mkajipange upya.

  Click image for larger version. 

Name:	IMG_0081.jpg 
Views:	93 
Size:	21.7 KB 
ID:	1526

  Click image for larger version. 

Name:	IMG_0089.jpg 
Views:	90 
Size:	23.2 KB 
ID:	1527[/QUOTE]

  Tembo a.k. a Meena wewe unadhani kila ambacho kinaandikwa kwenye Gazeti la best wako Sariwati ni kweli ?.... hili Tangazo mbona lipo kwnye Tovuti ya Chuo mzee. Tangazo kanakunyima usingizi kweli !! ila nakmbusha tu sheria ya makosa ya mtandao mangi!
  Last edited by utemi; 10-07-2016 at 15:02.

 8. #32
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2015
  Posts
  29
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  1

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Ufisadi wa kutisha Chuo cha Ufundi Arusha

  Habari za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka vimekuwa vikiripotiwa kwenye vyombo mbalimbali vikiwepo vyombo vya habari pamoja na mamlaka za kiserikali. Taarifa za uhakika zinaonyesha kwamba Tangu Mkuu wa chuo hicho afike chuo cha Ufundi Arusha amekuwa akitumia fedha ya chuo na umma kama hazina mwenyewe.

  Tuhuma mbalimbali zinazomkabili Mkuu wa Chuo ni:-

  a)Mkuu wa chuo Bwana Richard J Mushi Masika alianza kufanya kazi chuo cha ufundi Arusha mwezi Septemba 2010. Mkuu wa chuo aliishi Hotel ya Impala jijini Arusha kwa kipindi cha miezi mitatu (3) kuanzia Mwezi Oktoba, 2010 hadi mwezi Januari 2011 ilihali chuo kilikuwa na nyumba kwa ajili ya Mkuu wa chuo. Hata kama kulikuwa na ulazima wa Mkuu wa chuo kuishi Hotelini kwa kipindi chote hicho angeweza kukaa SG Hotel ambayo ipo karibu na Chuo. Kwa kufanya hivyo, ingeweza kugharimu kiasi kidogo kulinganisha na Impala na hata gharama za usafiri zingekuwa ndogo na hivyo kuwa nafuu kwa chuo na Serikali.

  b)Mkuu wa chuo Bwana Richard J. Mushi Masika alianzisha utaratibu mpya wa Mkuu wa chuo kuishi nje ya Chuo na hivyo kusababisha matumizi yasiyo ya lazima kwa chuo na serikali. Wakuu wote wa Chuo waliotangulia wakiwepo Wajerumani walikuwa wakiishi na familia zao kwenye nyumba ya Mkuu wa chuo iliyopo eneo la Chuo. Nyumba hiyo ilikataliwa na Mkuu wa chuo Bwana Richard J. Mushi Masika kwa hivyo kwa sasa wanakaa watumishi wengine. Kitendo cha Mkuu wa chuo kukaa nje ya chuo kimekuwa kikigharimu kila siku kuchoma mafuta ya kwenda kumchukua asubuhi na jioni kumrudisha kitu ambacho hakikuwepo hapo awali.

  c)Zaidi ya Tsh 70,000,000/= zilitumika kukarabati nyumba ya chuo iliyopo eneo la Korido Kijenge jijini Arusha ili ifae kwa matumizi ya Mkuu wa chuo. Nyumba hiyo ilikuwa akikaa Mtaalamu wa Korea ambaye alifukuzwa kutoka katika nyuba hiyo kama kibaka ili ikarabatiwe kwa ajili ya Mkuu wa chuo.

  d)Zaidi ya Tsh 700,000,000/= zilitumika kukarabati jengo la Utawala la Chuo huku sababu kubwa ikiwa ni kuifanya ofisi ya Mkuu wa chuo kuwa na ukubwa mkubwa pasipo sababu ya msingi. Ofisi ya Mkuu wa Chuo peke yake ni sawa na ofisi tatu za kawaida. Wakati ofisi ya Mkuu wa chuo ikiwa kubwa kiasi hicho bila sababu yoyote ya maana, wafanyakazi wengine na hasa waalimu wanabanana kwenye ofisi ndogo huku wakiwa hawana hata samani za ofisi.

  e)Katika kipindi cha Januari 1999 mpaka Februari 2000 Bwana Richard J. Mushi Masika hakufanya kazi ya utumishi wa umma katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kuwa inafahamika alikuwa akifanya kazi kampuni ya Ujenzi ya KONOIKE mjini Arusha lakini alilipwa mshahara na serikali bila kuufanyia kazi kupitia cheki namba 3781513.

  f)Mkuu wa chuo ana marupurupu mengi kama vile: Mkuu wa chuo anakaa bure kwenye nyumba ya chuo huku wafanyakazi wengine wakiwa wanakatwa kodi ya nyumba, Mkuu wa chuo hulipwa gharama za simu na mawasiliano ya intaneti kiasi cha 800,000/ kila mwezi, Mkuu wa chuo analipiwa umeme na maji, Mkuu wa chuo analipwa 20% ya mshahara wake kama extra duty allowance, Mkuu wa chuo analipwa pesa ya kukirimu wageni kiasi cha Tsh 500,000/= kila mwezi, Mkuu wa chuo analipwa pesa ya kukirimu wageni akiwa safarini kiasi cha Tsh 500,000/= kwa safari moja, Mkuu wa chuo hulipwa kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa wanafunzi huku akiwa haendi kufanya kazi hiyo, pia kila malipo yanayofanywa chuoni Mkuu wa chuo hulipwa hata kama hakufanya kazi ya malipo hayo.

  g)Tangu mwaka wa fedha 2010/11 Mkuu wa chuo amekuwa akilipwa tofauti na cheo chake. Kwa mfano, mwaka 2013/14 Mkuu wa chuo alitakiwa kulipwa kiasi cha Tsh 3,837,000/= kwa mwezi, lakini Mkuu wa chuo alilipwa kiasi cha Tsh 4,823,000/= kwa mwezi ikiwa na tofauti ya Tsh 986,000/= kama malipo ya ziada. Katika mshahara huo, Mkuu wa chuo alilipwa 20% ya mshahara wake kama posho ya kazi za ziada ambapo alilipwa kiasi cha Tsh 964,600/= badala ya Tsh 767,400/= kwa hivyo kulipwa kiasi cha Tsh 197,200/= zaidi ya alivyostahili kulipwa. Hivyo kwa mwezi mmoja katika mwaka wa fedha 2013/14 Mkuu wa chuo alilipwa kiasi cha Tsh 1,183,200/= zaidi ya alivyostahili. Kwa mwaka mmoja zililipwa kiasi cha Tsh 14,198,400 ambazo zinaweza kuchukuliwa kama malipo hewa. Hali ni hiyohiyo kwa mfano tena, mwaka 2011/12 Mkuu wa chuo alitakiwa kulipwa Tsh 3,330,700/= kwa mwezi, lakini alilipwa kiasi cha Tsh 4,303,400/= kwa mwezi na hivyo kwa mwaka huo zililipwa kiasi cha Tsh 14,006,880 kama malipo hewa kwa mkuu wa chuo

  h) Sehemu kubwa ya matumizi ya fedha za chuo ni kwa ajili ya shughuli za kuendesha chuo (malipo kwa ajili ya Bodi ya chuo, malipo ya safari za uongozi wa chuo, Mafuta na matengenezo ya magari yanayotumiwa na viongozi wa chuo allowance mbalimbali za uongozi wa chuo) na siyo kwa ajili ya kufanyia mambo ya taaluma (training materials, technical materials, teaching materials nk)

  Chanzo: Nyaraka mbalimbali
  Last edited by Tumbili; 11-07-2016 at 21:27.

 9. #33
  Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  32
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Nauliza tu swali la kimbea, kwanini mtu akiambiwa ukweli huwa anakuwa mkali sana?

  Mtu yeyote mwerevu ukimwambia kwamba yeye ni mjinga huwa anacheka tu na kuondoka zake. Sasa mwambie mtu mjinga kwamba yeye ni mjinga, hakika hiyo vita haitaisha.

  Kama hakuna ufisadi wowote uliofanywa au unaoendelea kufanywa na baadhi ya utawala wa chuo, kuna haja gani ya kutoa povu kiasi hiki humu kukanusha? Kwanini msilale tu kwakuwa hakuna tatizo?

  Fujo ninayoiona humu inanipa picha kwamba kuna ukweli unaotaka kufichwa. Haiwezekani ikawa huna tatizo uhangaike kwa kiasi hiki.

  Ni mtizamo wangu tu, msije kunishambulia kwa maneno makali hapa bure.

 10. #34
  Member
  Join Date
  Jan 2015
  Posts
  44
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  1

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Tembo a.k.a Victor Meena bado upo bize kupotosha umma. Tangu ufukuzwe kazi upo bize kwenye mitandao ukichafua Chuo na Serikali. Hongera sana lakini kumbuka kuna sheria ya makosa ya mtandao mzee. endelea na propanda zako tu. Time will tell

 11. #35
  Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  50
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Hakuna pahala ambapo bwana, Tembo ameonekana kuchafua Chuo na Serikali, bali ameonekana kuionyesha Serikali jinsi utawala wa Chuo hiki unavyoharibu mali za Umma. Kuna Mtu anajiita Utemi, mara aje na bango lake ambalo halieleweki, mara aje amequote sheria za mitandao, haeleweki. Sidhani kama kuweka mabango na kutishia watu kuhusu sheria za mitandao kutasaidia au kutaondoa ukweli wa kinachosemwa.

 12. #36
  Member
  Join Date
  Dec 2014
  Posts
  78
  Rep Power
  6
  Likes Received
  3
  Likes Given
  1

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Mawe yatasema ikiwa binadamu ataona haya yanatendeka wakakaa kimya. Ni afadhali kusema sana sasa kwa kuwa Rais wetu mpendwa Magufuli ana haja ya kuyasikia ili ikimpendeza ayafanyie kazi kwa faida ya watanzania wote.

  Inawezekana mtu mmoja au kikundi cha watu wachache wakajipanga kwa nguvu kadri watakavyoweza lakini hawataweza kuficha ukweli kama ulivyo. Mtu anaweza akafanya kila aina ya uovu na kufanya kila aina ya mbinu ili kuficha uovu huo lakini siku moja uovu huo utajulikana tu. hata hivyo, hebu tujiulize tunafanya uovu wote huo kwa faida ya nani? Mtu anadhulumu kutoa elimu iliyo bora kwa watanzania wenzake masikini ili apate kuwa na fedha nyingi sana ili imsaidie nini? Mtu anafikiria kuiba kila senti ya umma ili iweje? Wakati huohuo mtu huyohuyo anatumia nguvu kubwa ya kila aina ili kuficha uovu huo bila aibu.

  Mambo haya yamefanywa na yako wazi kila mtu anafahamu yalivyo, leo mtu mmoja aliyeamua kujitoa ufahamu anakesha kwenye mitandao akikanusha mambo yasiyo na kificho. Inafahamika nchi yetu bado ni changa na kila mtu angependa kufaidi sawasawa na bidii na jitihada zake katika kazi. Haiwezekani na haipendezi mtu mmoja au kikundi cha watu wachache kudhani ndio wenye haki zaidi ya wengine. Pia haiwezekani kuhujumu au kudhulumu hata wazazi wa watanzania walioamini kwamba watoto wao watapata elimu inayofaa na Mungu akamwacha mtu huyo bila mwisho.

  Haya ndio mambo ambayo kila siku yanaulizwa na hayajawahi kutolewa majibu hata kwa wafanyakazi walio karibu. Inashangaza pale ambapo inaelezwa kwamba chuo kipo tayari kutoa majibu sahihi kwa mamlaka zilizowekwa kisheria, watu wanauliza haya maswali yanaulizwa na mamlaka hizo au ni wafanyakazi? Kwanini kama majibu yapo yasiwekwe wazi kwa wafanyakazi?

  Majibu ya maswali haya yajibiwe kwa wafanyakazi ili waache kuendelea kuuliza:

  a)Mkuu wa chuo alianza kufanya kazi chuo cha ufundi Arusha mwezi Septemba 2010. Mkuu wa chuo aliishi Hotelini kwa kipindi cha miezi mitatu (3) kuanzia Mwezi Oktoba, 2010 hadi mwezi Januari 2011. Wakati Mkuu wa chuo akiishi hotelini chuo kilikuwa na nyumba kwa ajili ya Mkuu wa chuo. Fedha iliyotumika kulipia hoteli wakati chuo kilikuwa na nyumba kingetosha kununua madawati mangapi ili kuondokana na tatizo la watoto wa shule kukaa chini?

  b)Zaidi ya Tsh 70,000,000/= zilitumika kukarabati nyumba ya chuo iliyopo eneo la Korido Kijenge jijini Arusha ili ifae kwa matumizi ya Mkuu wa chuo. Nyumba hiyo ilikuwa akikaa Mtaalamu wa Korea ambaye alifukuzwa kutoka katika nyuba hiyo kama kibaka ili ikarabatiwe kwa ajili ya Mkuu wa chuo. Fedha hii iliyotumika pasipo lazima zingeweza kununua madawati mangapi?

  c)Zaidi ya Tsh 700,000,000/= zilitumika kukarabati jengo la Utawala la Chuo huku sababu kubwa ikiwa ni kuifanya ofisi ya Mkuu wa chuo kuwa na ukubwa mkubwa pasipo sababu ya msingi. Ofisi ya Mkuu wa Chuo peke yake ni sawa na ofisi tatu za kawaida. Wakati ofisi ya Mkuu wa chuo ikiwa kubwa kiasi hicho bila sababu yoyote ya maana, wafanyakazi wengine na hasa waalimu wanabanana kwenye ofisi ndogo huku wakiwa hawana hata samani za ofisi. Kiasi chote hicho cha pesa iliyotumika kuongeza ukubwa wa ofisi ya mkuu wa chuo zingeweza kujenga madarasa mangapi? na kama zingenunua madawati zingeweza kununua madawati mangapi?

  d) Miradi mingi ya ujenzi ilijengwa kwa gharama zaidi ya thamani halisi ya jengo. kwa mfano zaidi ya TZS 300,000,000/= zinakadiriwa kuliwa katika ukarabati wa Jengo la Utawala, Zaidi ya TZS 1,500,000,000/= zililiwa katika ujenzi wa jengo la madarasa lijulikanalo kama jengo la Ujenzi na Umwagiliaji, zaidi ya 320,000,000/= zililiwa kupitia fedha za mafunzo viwandani kwa mwaka 2011/2012 - 2014/15. Akaunti ya chuo ijulikanayo kama ATC-PCB imekula zaidi ya TZS 460,000,000/= kupitia miradi hewa iliyobuniwa na uongozi wa chuo. Fedha yote hii ingeweza kujenga madarasa mangapi au ingeweza kununua madawati mangapi?

  e)Tangu mwaka wa fedha 2010/11 Mkuu wa chuo amekuwa akilipwa tofauti na cheo chake. Kwa mfano, katika mwaka wa fedha 2013/14 Mkuu wa chuo alilipwa kiasi cha Tsh 1,183,200/= zaidi ya alivyostahili. Kwa mwaka mmoja zililipwa kiasi cha Tsh 14,198,400 ambazo zinaweza kuchukuliwa kama malipo hewa. Hali ni hiyohiyo kwa mfano tena, mwaka 2011/12 Mkuu wa chuo alitakiwa kulipwa Tsh 3,330,700/= kwa mwezi, lakini alilipwa kiasi cha Tsh 4,303,400/= kwa mwezi na hivyo kwa mwaka huo zililipwa kiasi cha Tsh 14,006,880 kama malipo hewa kwa mkuu wa chuo. Fedha yote hiyo ingeweza kununua madawati mangapi?

  f) Sehemu kubwa ya matumizi ya fedha za chuo ni kwa ajili ya shughuli za kuendesha chuo (malipo kwa ajili ya Bodi ya chuo, malipo ya safari za uongozi wa chuo, Mafuta na matengenezo ya magari yanayotumiwa na viongozi wa chuo allowance mbalimbali za uongozi wa chuo) na siyo kwa ajili ya kufanyia mambo ya taaluma (training materials, technical materials, teaching materials nk) Kipaumbele cha chuo ni nini?

  Zaidi ya TZS 3,600,000,000/= zimeliwa kifisadi, lakini Bodi ya Chuo imekuwa sehemu ya hujuma hii. Mkuu wa chuo na wajumbe wa Bodi ni wamoja. Bodi ina wajumbe kama Lema, Makileo, Ukio, Mosha, Njau na Nyahumwa akiwa school mate. Ilikuwaje wajumbe hao wakajikuta kwenye Bodi moja huku Mkuu wa chuo ni Mushi?
  Last edited by Tembo; 19-07-2016 at 19:07.

 13. #37
  Member
  Join Date
  Dec 2014
  Posts
  78
  Rep Power
  6
  Likes Received
  3
  Likes Given
  1

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Kuzunguka na tangazo la mwaka 47 na lisilo na majibu ya maswali ya msingi haisaidii. Sana sana umma utakuona kama mtu mwenye nia ya kuficha ukweli ambao uko wazi. Umeshikwa pabaya, huu ni wakati mwingine usidhani ni ule wakati uliofanikiwa kudanganya kila kitu na ukasikilizwa.

  Siku zako za kudanganya na kuibia Serikali zinahesabika. Usidhani Bodi uliyojitengenezea itakuwepo na kukulinda siku zote
  Last edited by Tembo; 12-08-2016 at 08:35.

 14. #38
  Member
  Join Date
  Jan 2015
  Posts
  44
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  1

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Tembo tembo a. k. a Meena..... tunajua Tangazo linakunyima usingizi kwa muda sasa. Umma umeshaeleewa ukweli siku nyingi sana... Tunashangaa ni wewe tu upo kwenye usingizi wa propaganda nyepesi.

 15. #39
  TUA
  TUA is offline
  Senior Member
  Join Date
  Oct 2014
  Posts
  677
  Rep Power
  6
  Likes Received
  32
  Likes Given
  0

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Tangazo linasema kuwa menejimenti iko tayari kutoa ushirikiano na majibu kwa tume za kiserikali zinazohitaji majibu. Kwani hizo tume zimeuliza hayo maswali? wanaohitaji majibu ya ufisadi unaozungumziwa ni wafanyakazi. Kwa nini menejimenti hiyo ikimbilie kuwapa majibu watu ambao hawajauliza ilhali haiwapi majibu wafanyakazi wanaouliza na kutaka kujua sababu za ufisadi mkubwa hivyo?

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by utemi View Post
  Click image for larger version. 

Name:	7640_10153996847952487_1296214619587581403_n.jpg 
Views:	98 
Size:	28.1 KB 
ID:	1528
  Click image for larger version. 

Name:	sheria_-_the_cyber_crimes_act_-_final-15.jpg 
Views:	95 
Size:	40.3 KB 
ID:	1529

  Tembo upo bize sana... ila kukumba kuna sheria ya makosa ya mtandao !
  Hiyo sheria ya mitandao inakataza kuwafichua wezi wa mali ya Umma walio kama Utemi?

 16. #40
  Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  32
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  MASIKINI, HUYO NINAMFAHAMU SANA. LAKINI INATOSHA TU KUSEMA, MAISHA NI JINSI MTU ANAVYOAMUA KUYAPELEKA. HUYU MTU ALITENGENEZA MAADUI WENGI SANA ALIPOKUWA DIT, MTU HUYOHUYO AMETENGENEZA UADUI MKUBWA SANA NA FAMILIA YAKE (AMTENGANA KABISA NA MKE NA WATOTO WA KUZAA MWENYEWE), MTU HUYO AMETENGENEZA UADUI MKUBWA NA SEHEMU KUBWA YA WAFANYAKAZI ANAKOFANYIA KAZI HIVI SASA.

  MATOKEO YA KUTENGENEZA MAADUI WENGI KIASI HIKI NI KWAMBA KWA SASA OFISI IMEKUWA CHUNGU, NYUMBANI KUCHUNGU MAANA MUDA WOTE PAKA ANAKUWA AMELALA JIKONI NA JIKO LINAKUWA LIMENUNU KWA KUWA HAKUNA MTU. MITAANI NAKO ANAKUWA HAWEZI KUPITA KWA UHURU KWA KUWA ANAOGOPA KUDHURIWA NA MAADUI ALIOJITENGENEZEA MWENYEWE.

  NADHANI ITAKUWA VIZURI KAMA MAMLAKA ZA JUU ZITAMTAFUTA NA KUMSAIDIA KISAIKOLOJIA MAANA HUENDA KUNA TATIZO LILILOJIFICHA NDANI YA MTU HUYU. NADHANI ITAKUWA BUSARA ZAIDI KWA MAMLAKA ZA JUU KUTOMCHUKULIA HATUA ZOZOTE HATAKAMA ITAGUNDULIKA KWAMBA AMELITIA TAIFA HASARA KWA KUWA AKITUMBULIWA ANAWEZA KUFA MARA MOJA KUTOKANA NA MSONGO WA MAWAZO, NA KWA AJILI HIYO HUENDA IKAWA NI KUONGEZA TATIZO KULIKO KULIONDOA TATIZO.

  CHONDECHONDE, TUNUSURU MAISHA YA MTU HUYU KWA KUTOMTUMBUA, ILA TUMWACHIE MUNGU AMHUKUMU KUTOKANA NA MATENDO YAKE.

 17. #41
  Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  56
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Hata leo jana na leo hii bodi ya Wachagga imekutana hapa Chuoni, wafanyakazi hatujui wanachojadili. Labda wanajadili namna ya kuongezea wanafunzi waliofeli maksi,maana mkuu wa Chuo hiki Mr/Dr Richard Masika Mushi anachotaka wafanye ndicho wanafanya. Si anawapa hela? Masika ndiye anayeiongoza bodi badala ya Bodi imuongoze yeye.

 18. #42
  TUA
  TUA is offline
  Senior Member
  Join Date
  Oct 2014
  Posts
  677
  Rep Power
  6
  Likes Received
  32
  Likes Given
  0

  Re: JIPU LAKATAA KUJITUMBUA WALA KUTUMBULIWA

  Quote Originally Posted by KAYUMBA View Post
  MASIKINI, HUYO NINAMFAHAMU SANA. LAKINI INATOSHA TU KUSEMA, MAISHA NI JINSI MTU ANAVYOAMUA KUYAPELEKA. HUYU MTU ALITENGENEZA MAADUI WENGI SANA ALIPOKUWA DIT, MTU HUYOHUYO AMETENGENEZA UADUI MKUBWA SANA NA FAMILIA YAKE (AMTENGANA KABISA NA MKE NA WATOTO WA KUZAA MWENYEWE), MTU HUYO AMETENGENEZA UADUI MKUBWA NA SEHEMU KUBWA YA WAFANYAKAZI ANAKOFANYIA KAZI HIVI SASA.

  MATOKEO YA KUTENGENEZA MAADUI WENGI KIASI HIKI NI KWAMBA KWA SASA OFISI IMEKUWA CHUNGU, NYUMBANI KUCHUNGU MAANA MUDA WOTE PAKA ANAKUWA AMELALA JIKONI NA JIKO LINAKUWA LIMENUNU KWA KUWA HAKUNA MTU. MITAANI NAKO ANAKUWA HAWEZI KUPITA KWA UHURU KWA KUWA ANAOGOPA KUDHURIWA NA MAADUI ALIOJITENGENEZEA MWENYEWE.

  NADHANI ITAKUWA VIZURI KAMA MAMLAKA ZA JUU ZITAMTAFUTA NA KUMSAIDIA KISAIKOLOJIA MAANA HUENDA KUNA TATIZO LILILOJIFICHA NDANI YA MTU HUYU. NADHANI ITAKUWA BUSARA ZAIDI KWA MAMLAKA ZA JUU KUTOMCHUKULIA HATUA ZOZOTE HATAKAMA ITAGUNDULIKA KWAMBA AMELITIA TAIFA HASARA KWA KUWA AKITUMBULIWA ANAWEZA KUFA MARA MOJA KUTOKANA NA MSONGO WA MAWAZO, NA KWA AJILI HIYO HUENDA IKAWA NI KUONGEZA TATIZO KULIKO KULIONDOA TATIZO.

  CHONDECHONDE, TUNUSURU MAISHA YA MTU HUYU KWA KUTOMTUMBUA, ILA TUMWACHIE MUNGU AMHUKUMU KUTOKANA NA MATENDO YAKE.
  Hapana Kayumba. Hata maandiko yanasema kila mtu atavuna alichopanda. Kama ufisadi amefanya mwenyewe akifikiri Serikali imelala acha ayaone. Tena huyu si wa kuonea huruma kama kafukuza na watoto wa kuwazaa ina maana hana huruma. Huyu ni kufunga tu maana ungesema aonewe huruma kwa ajili ya watoto, sasa kama hata mzigo wa kulea watoto kambwagia mtalaka wake bila huruma huyu anahitaji huruma? Hapana, akipatikana na hatia acha sheria ifuate mkondo wake. Pia Serikali ijue kuwa hizi kazi zingine ni sensitive, haziitaji wahuni. Hivi mtu asiye na Mke anaweza kuwa Mkuu wa Chuo? Si ataanza kuzunguka Masekretari wake na wanafunzi? Labda ndio maana basi huu uongozi wake umekutwa na kashfa ya kuongezea wanafunzi maksi kiholela. Kumbe Chuo kinaongozwa na mtu hana mke, Je atakuwa na huruma kwa watoto wa wenzake kweli?

Page 2 of 2 FirstFirst 12

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •