Close

Results 1 to 8 of 8
 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  10
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  - Maisha magumu lakini bado matapeli hasa kampuni za simu wanaendelea kutufilisi

  - Maisha magumu lakini bado matapeli hasa kampuni za simu wanaendelea kumfilisi maskini kwa vijibahati nasibu feki vyao….

 2. #2
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  30
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Gwegwe View Post
  - Maisha magumu lakini bado matapeli hasa kampuni za simu wanaendelea kumfilisi maskini kwa vijibahati nasibu feki vyao….
  Usishiriki wezi wakubwa hawa

 3. #3
  Senior Member Servant's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  177
  Rep Power
  6
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0
  Ni bahati mbaya sana kwamba serikali inafahamu utapeli huu. Lakini inaamua kunyamazia. Siku itafika ujinga huu utafika mwisho.

  Hilo litafanyika muda si mrefu.

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  6
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7
  Acha kutumia huduma zao.

 5. #5
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  30
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Hivi kwani Watz wote tukigoma kutumia simu itakuaje, tuna thamani kubwa sana lakini tunashindwa kuionyesha, sasa kuanzia Desemba mosi wpte tuzime simu zetu kwa mwezi mmoja, tuone kama hawajaanza kupunguza wafanyakazi wa kampuni za simu

 6. #6
  Senior Member Ngwindimba's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  235
  Rep Power
  6
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Mnukanuka View Post
  Hivi kwani Watz wote tukigoma kutumia simu itakuaje, tuna thamani kubwa sana lakini tunashindwa kuionyesha, sasa kuanzia Desemba mosi wpte tuzime simu zetu kwa mwezi mmoja, tuone kama hawajaanza kupunguza wafanyakazi wa kampuni za simu
  Zoezi gumu sana hilo ndugu yangu kutokana na maisha ya sasa kwani fone imekuwa kila kitu katika maisha ya bindamu, cha muhimu waache kutuibia tu

 7. #7
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  31
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Akili Pana View Post
  Acha kutumia huduma zao.
  wazo la mbolea lenye kustawisha mmea

 8. #8
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  30
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Ngwindimba View Post
  Zoezi gumu sana hilo ndugu yangu kutokana na maisha ya sasa kwani fone imekuwa kila kitu katika maisha ya bindamu, cha muhimu waache kutuibia tu
  hakuna kisichowezekana chini ya jua, kwani hizo simu zimekuja lini, babu yako alikuwa anatumia simu, mbona maisha yalikuwa yanaenda, hiyo ndiyo dawa yao

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •