Anslem Besigye mototo wa kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC)nchini Uganda Kizza Besigye ameshinda urais wa krabu ya midahalo chuo kikuu cha Oxford Uingereza.

Ushindi huo umetokanana na kijana anslem kutengeneza video fupi ilikuwaomba wanafunzi wenzie wampigie kura iliyokuwa ikielezea mambo ambayo amekifanyia chama hicho pamoja na uzoefu wake wakuendesha mijadala.

Mama Anslem Bi Byanyima ameonekana kufurahishwa na ushindi huo katika ukurasa wake wa Twitter