Hivi karibuni raia wa Kenya wameanza kuteka vichwa vya habari katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwaku potosha watu kwa matendo wayafanyao

Ikiwa ni takribani mwezi mmoja umepita tangu kusambaa kwa video ya Rosemary Odinga aliye onekana kupotosha Ulimwengu juuya Bonde la Olduvai Gorge akisema lipo Kenya ikiwa bonde hilo lipo TanzaniaHivi karibuni Bi Sevelyn kaibuka na picha za kutengeneza kwa kujifanya naye alikuwa katika picha hizo halisi na kuzi sambaza katika mitandao ya kijamii na watu kuamini na kuanza kuzua mjadal ambayo imsababishwa kwa picha za kutengeneza .