ni huyu huyu Chid Benz ambaye mwaka jana alipewa 25000 tuu ya unga na CCM
then akamtukana Lowassa kwa wimbo huu. ...

nimecheka kumuona juzi alivyo na nkakumbuka line yake 1 katika huu wimbo
(mgonjwa hawezi ongoza nchi ).

Sasa Leo anasema anahitaji msaada eti ana stress ndo maana yupo vile. ....
hahahahhahaa. ....

kweli unga sio Glucose