Close

Results 1 to 5 of 5
 1. #1
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  88
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  KWA JINSI HII ELIMU YETU ITAPIGA HATUA KWELI?

  Mwaka wa masomo umeanza.
  Wanafunzi wanapanda madarasa, kutoka darasa la chini kwenda juu.
  NAITAZAMA KWA MAKINI ELIMU YA SEKONDARI.

  Wanafunzi wanashindwa mtihani sana sana sana. Kila kukicha asilimia za ufauru zinashuka kwa kasi sana.
  Badala ya wadau wa elimu, serikali na wazazi kukaa kwa pamoja kuitazama changamoto hi, serikali imekua ikikurupuka katika maamuzi.
  ZIMEUNDWA TUME NYINGI NA MAJIBU YA TUME HIZI HAYAJAWAHI KUWEKWA HADHARANI.

  Wiki moja sasa imepita baada ya matokeo ya Kidato cha II kutangazwa. Imekua aibu kweli maana wastani wa ufauru uliochukuliwa ni alama 20 badara ya 35.
  Swali langu kwako. MTINDO HUU WA KUPUNGUZA MAKSI ILI WATOTO WAFAURU WENGI UNATIJA KWA TAIFA LETU??
  KUONGEZA DIVISION 5 KTK MATOKEO YA KIDATO CHA 4 NI SURUHISHO LA WATOTO WANAO SHINDWA MTIHANI??
  NI kipi kipaumbele chetu ktk elimu, KUAANDAA WATANZANIA KUJITEGEMEA au KUWA WATEGEMEZI????

 2. #2
  Senior Member Tanzania Nchi Yetu Sote's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  596
  Rep Power
  7
  Likes Received
  34
  Likes Given
  6

  Re: KWA JINSI HII ELIMU YETU ITAPIGA HATUA KWELI?

  Quote Originally Posted by alemi ima View Post
  Mwaka wa masomo umeanza.
  Wanafunzi wanapanda madarasa, kutoka darasa la chini kwenda juu.
  NAITAZAMA KWA MAKINI ELIMU YA SEKONDARI.

  Wanafunzi wanashindwa mtihani sana sana sana. Kila kukicha asilimia za ufauru zinashuka kwa kasi sana.
  Badala ya wadau wa elimu, serikali na wazazi kukaa kwa pamoja kuitazama changamoto hi, serikali imekua ikikurupuka katika maamuzi.
  ZIMEUNDWA TUME NYINGI NA MAJIBU YA TUME HIZI HAYAJAWAHI KUWEKWA HADHARANI.

  Wiki moja sasa imepita baada ya matokeo ya Kidato cha II kutangazwa. Imekua aibu kweli maana wastani wa ufauru uliochukuliwa ni alama 20 badara ya 35.
  Swali langu kwako. MTINDO HUU WA KUPUNGUZA MAKSI ILI WATOTO WAFAURU WENGI UNATIJA KWA TAIFA LETU??
  KUONGEZA DIVISION 5 KTK MATOKEO YA KIDATO CHA 4 NI SURUHISHO LA WATOTO WANAO SHINDWA MTIHANI??
  NI kipi kipaumbele chetu ktk elimu, KUAANDAA WATANZANIA KUJITEGEMEA au KUWA WATEGEMEZI????
  Tumeona elimu ni ghali ngoja tujaribu ujinga kidogo maana serikali dhaifu huwekwa na watu dhaifu na ikishindwa kuongoza wameshindwa watu walioiweka serikali hiyo madarakani
  Usione niko kimya nakusubiri uropoke

 3. #3
  Junior Member Kimbori's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  18
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: KWA JINSI HII ELIMU YETU ITAPIGA HATUA KWELI?

  Naona walioamua kuchagua ujinga, kwa kuwa Elimu ni ghali ni wengi.
  "Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na
  tamaduni UNESCO limesema watoto milioni 250 wa shule ya msingi duniani kati ya watoto milioni 650 hawajui kusoma na kuandika na hata kufanya hesabu rahisi. Hii ni kulingana na ripoti ya shirika hilo inayotolewa kila mwaka (DW Kiswahili).
  Je mtoto, mdogo wako au ndugu yako ni miongoni
  mwao?
  Kwanini hali hii nchini Tanzania imekuwa mbaya
  zaidi kuliko miaka 30 iliyopita?

 4. #4
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  88
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: KWA JINSI HII ELIMU YETU ITAPIGA HATUA KWELI?

  nasikia serikali ya nchi yetu imeamua bora liende. Kidato cha II wote wanaoingia kidato cha III mwaka huu watakwenda wote hata kama hawajui kusoma na kuandika. Ama kweli hili ni taifa la mbulula

 5. #5
  Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  38
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: KWA JINSI HII ELIMU YETU ITAPIGA HATUA KWELI?

  Mmi natoa ushauri tu kuwa itolewe elimu kuhusu hizi technical colloge kwa wazazi kwa sababu kwanza wengi wao hufikiri hizi ni kwa wale walio feli La hasha kwasababu tunakoelekea wenye ujuzi na practical experience wanatazamwa zaidi hizi college zimesaidia vijana kuwa na ujuzi wa kujiajiri
  Last edited by Mangora; 22-02-2014 at 20:54.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •