Close

Results 1 to 6 of 6
 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  10
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  - Tumekatazwa kuvaa mitumba ambayo ni nguo za ndani, hii ni halali? Vipi kuhusu soksi

  - Tumekatazwa kuvaa mitumba ambayo ni nguo za ndani, hii ni halali? Vipi kuhusu soksi?

 2. #2
  Senior Member Mchambawima's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  152
  Rep Power
  7
  Likes Received
  2
  Likes Given
  1
  Kanzu haina kipimo. Tunarudi tulikotoka.

 3. #3
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  18
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  We unaona raha kuvaa aliyovua mwenzako? Halafu unavaa uvundo wa Mzungu. Kukoga wiki hata wiki.

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  7
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7
  Mimi nashangaa chupi zilizotumika zikitoka Ulaya baadhi ya Watanzania wanazitumia. Je? chupi mpya zikitumiwa na watanzania zinaweza kuwa mitumba na kuvaliwa hahapa nchi?.

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  123
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0
  Michizi iko mingi. Soksi ya mtumba inauzwa elfu 3 wakati soksi mpya inauzwa elf 1 lakini bado jitu linakimbilia mitumba. Yaani kina dada ndio machizi original, sidiria na chupi mpya zimejaa tele lakini wao wanakimbilia sidiria na bikini za mitumba, ndiomaana nyuchi zao nyingi zimejaa vipele.

  Serikali inawasaidia kwa kuwaondolea mitumba ili kuwaepusha na magonjwa, ninyi mnalalamika, mfanywe nini ili mridhike?

 6. #6
  Banned
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  85
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: - Tumekatazwa kuvaa mitumba ambayo ni nguo za ndani, hii ni halali? Vipi kuhusu s

  Quote Originally Posted by Jadidi View Post
  Michizi iko mingi. Soksi ya mtumba inauzwa elfu 3 wakati soksi mpya inauzwa elf 1 lakini bado jitu linakimbilia mitumba. Yaani kina dada ndio machizi original, sidiria na chupi mpya zimejaa tele lakini wao wanakimbilia sidiria na bikini za mitumba, ndiomaana nyuchi zao nyingi zimejaa vipele.

  Serikali inawasaidia kwa kuwaondolea mitumba ili kuwaepusha na magonjwa, ninyi mnalalamika, mfanywe nini ili mridhike?
  Ndugu watake radhi dada zetu teh teh nina uhakika hao uliowakuta na vipele sio sababu ya mitumba, labda kama unatumiaga mahausigeli. ila shida kubwa watu hawana uelewa kama hivyo vitu vinapatikana na vipya tena kwa bei nafuu tu.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •