Nchini Kenya katika kaunti ya Bugoma, ng’ombe mmoja alivamia nyumba ya mkazi mmoja ambaye kazi yake ni kuuza ulabu (Pombe) na kuzifakamia lita zinazokadiriwa kuwa 40.

Taarifa za mashuhuda zinadai kuwa, baada ya ‘moo’ huyo kupiga mtungi huo alilewa Chakali mpaka akalala siku nne.

Ng’ombe huyo alipiga pombe aina ya Busara