Hatimaye Yanga ya mkarisha Tena mnyama baada ya Kukubali kichapo cha Bao 2 nunge katika mtanange ulio Ulio wakutanisha mahasimu hawa wajadi katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.

Katika mpambano huo mechi imeonekana kuwa Ngumu kwa Mnyama simba ikiwa kakubali kichapo cha bao 2--0 hivyo kumwachia Yanga akiongoza ligi kuuvodacom Tanzania Bara akiwa na Point 46.