Katika hali ya kuchekesha na ya kuhuzunisha ni namuna ambavyo Watanzania tunavyo kosa kazi na kushindwa kuthamini muda hivi karibuni Msanii wa Bongo Move Vincent kigosi alimaarufu "Ray" kawafanya watanzania kuwa machizi kutokana na matendo waya tendayo hakika tuna hitaji namnanyingine ya kufunguka kiufahamu maana alicho kizungumza Ray ilikuwa ni mtazamo wake ambao ulikuwa na jibu la utata kwa kuwa hakutaka tujue moja kwa moja siri ya Rangi yake.

Naweza Kumfananisha na kiongozi maarufu aliwa laghai babu zetu wakati wa kipambana na nguvu ya mkoloni Kinjekitile Ngwale naye aligundua kuwambia ukweli bunduki inaua wangi wange likimbia na kuogopa mapigano akaona niheli awambie ukiona ime pigwa basi sema maji hufi ndivyo walivyo teketea ndugu zetu sasa "Ray" katoa siri ya rangi yake kwa jibu rahisi ambalo hata ukimwambia kichanga hawezi kuamini sasa tazama picha hizi inamaana Tuna muda mwingi wakupoteza katika ujinga kuliko kufikiria maisha
atfer that we complain hard life