Close

Results 1 to 1 of 1
 1. #1
  Moderator
  Join Date
  Apr 2015
  Posts
  1,067
  Rep Power
  6
  Likes Received
  21
  Likes Given
  0

  NAY Wamitego ni nooooma kamsnichi Ray


  Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara nyingine ameendelea kuteka ‘headlines’ baada ya kuibuka na kudai kuwa alishawahi kumuokoa staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego asipigwe.

  Akizungumza asubuhi hii katika kipindi cha Leo Tena kinachorusha na Clouds FM, Ray alisema kuwa alipokuwa katika shoo ya Fiesta Mwanza, Nay alivamiwa na kundi la wasanii wa Bongo Movie na kutaka kupigwa.

  “Nilifanikiwa kumzuia kwasababu wasanii walikuwa wengi wakiongozwa na Wema Sepetu sasa nashangaa mwenzangu Nay ananisakama natumia pesa zote za mauzo ya filamu namalizia kwenye mkorogo,” alisema Nay
  Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	NayWaMitego.jpg 
Views:	137 
Size:	21.7 KB 
ID:	1324  
  hakikisha hupitwi na habari

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •