Mpenzi wa Wema Sepetu, Idris Sultan usiku wa kuamkia Jumatano hii amepost picha ya watoto mapacha huku akiandika ujumbe unao onyesha mimba ya mpenzi wake (Wema Sepetu)* imearibika.

Kupitia instagram idris ameandika

To my unborn twins,
*** So quickly you came into our lives,
*** So quickly torn away.
*** Never got the chance to meet you,
** There’s so much I want to say.*
*
All these thoughts running* through my head,
*** It’s enough to drive me insane.
*** Though you lived only 13 short weeks,
*** You were loved so very much.
*** I wish that I could hold you,
*** I long to feel your touch.

I pray that in another life, We get the chance to meet. God brings and takes as he plans and we cannot complain but only pray that all that was for a better reason and a better plan in store for us.*

We have learnt lessons painfully but wont stop trying again and again and do swear by the time your brothers and sisters are made to come to this world we will be more than ready for them.
****
Sincerely Your Dad.*
-----------
*
==>Hivi ndivyo unavyosomeka ujumbe wa Idris kwa lugha ya Kiswahili

Kwa mapacha wangu ambao walikuwa bado hawajazaliwa

“Ni haraka sana mmeingia katika mfumo wa maisha yetu, lakini ni haraka pia mmetuacha, sikuwahi kupata nafasi ya kukutana na nyinyi, nina vingi nataka niseme ninavyofikiria ndani ya kichwa changu vinatosha kunifanya mwendawazimu, ukizingatia mmeishi kwa wiki sita pekee, tuliwapenda sana na natamani ningepata nafasi ya kuwashika, mungu ametoa na mungu ametwa kama ambavyo amepanga na hatuwezi kulalamika huenda ametuandalia mengine mazuri zaidi”*