Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alijipatia umaarufu mkubwa kwa staili yake ya kuimba kama mlevi, Joni Woka amefariki dunia alfajiri ya leo

Enzi za uhai wake marehemu alijizolea umaarufu kutokana na staili ya kipekee aliyo kuwa akiitumia kufikisha ujumbe kwa jamii Walikuwa

Masanii Joni Woka alipata ajari majuzi wakati anahangaika kurekebisha usafiri kwenye garage hapo Sinza, sasa katika kuhangaikia upande wa AC mtungi wa gas ukalipuka,moja ya vipande vya chuma chenye ncha kali kikamchoma kichwani. Madaktari wanahofia imefika mbali kiasi kwamba damu inamwagikia kwenye ubongo.