Close

Search:

Type: Posts; User: pcosmas70; Keyword(s):

Page 1 of 3 1 2 3

Search: Search took 0.21 seconds.

 1. Replies
  3
  Views
  855

  Re: CUF, NCCR NA NLD mlikuwepo JANGWANI?

  Unaonaje wakitengeneza uniform ya umoja ikawa utambulisho ya ukawa......naona hoja yako itakuwa imejibiwa
 2. Re: SWALA LA MASHEIKH LINAWEZA KUWAPAISHA UKAWA

  Mkuu Guru
  Kama ccm ilivyowalaghai waislam kwa kuwaahid mahakama ya kadhi....
 3. Re: WAKATI TUKIWA TUMEPUMBAZWA KWA PESA JANGWANI LEO, TUJIKUMBUSHE NA RICHMOND YAKE

  Kulingana na maswali ya Mh Sumaye.......Je Lowasa alikuwepo??? Waliokuwepo watasamehewa??? Ni akina nani hayo???
 4. Re: UPDATE YANAYOJIRI UFUNGUZI WA KAMPENI ZA UKAWA JANGWANI LEO 29/8/2015

  Tanseco ruksa leo kukataa umeme....wanatumika vibaya
 5. Re: AIBU.MATOKEO YA VIONGOZI WA CHADEMA KIELIMU HAYA HAPA

  Kama ana uwezo wa kulpeleka taifa mbele hiko kihoja hakitusaidii....uongozi hauhitaji ufaulu wa biologoy au chemist...ni ufahamu wa nini watu wako wanakitaka kisha kuwatekelezea....ni kuwa na nguvu...
 6. Replies
  3
  Views
  662

  Re: KASI YA MWIGULU MBIO URAIS CCM INATISHA

  Kumbe bado anajijenga kisiasa....kuimarika kwake itachukua mda...hatuna matumaini na ccm...we need a CHANGE.

  Waingojee CDM
 7. Re: BREAKING NEWS: KIONGOZI WA CHADEMA AJERUHIWA

  Tutayaona mengi kuelekea 2015.....na bado watatumaliza waTz.....Mungu warehemu viongozi wako na wananchi wako.
 8. Replies
  45
  Views
  7,335

  Re: SAMWEL SITTA: FISADI ALIYEKUBUHU

  Mh. Nambalapala leta hoja naona povu linakutoka where is your concrete reason
 9. Re: 'EXPIRY' DATE VITAMBULISHO VYA URAIA KUNA NINI NYUMA YAKE?

  Ukitazama vitambulisho vya shule au chuo ukimaliza muda wako wa kusoma(EXPIRY DATE) unavirudisha na kutambulika sio mwanafunz tena itabaki historia nilisomaga pale sasa hivi navyo vya kitaifa...
 10. Re: BREAKING NEWS: Maiti za watu zaidi ya 20 zakamatwa zikiwa kwenye gari Bunju

  "Tanzania ni nchi ya amani" msemo uliozoeleka lakin tupo katika mateso ya kutawaliwa kifikra kuliko wale wanayoitafuta kwa damu hapo uchunguz utaisha midomo intanena tu watu tutasahau Mungu ilinde...
 11. Replies
  100
  Views
  21,340

  Re: MATOKEO YA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA

  Kocha wa Brazil, Luiz Felipe Scolari amekiri kuwa Brazil imefuzu kucheza robo fainali kibahati lakini Chile walikuwa bora zaidi
 12. Replies
  100
  Views
  21,340

  Re: MATOKEO YA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA

  Spain wanachezea tena tushawajua mfumo wao tumewabana vilivyo
 13. Re: LINI TANZANIA ITASHIRIKI KOMBE LA DUNIA?

  Turudi mtaani taratibu ngazi kwa ngazi tuibue vipaji vya watoto mifupa yao bado milaini siyo iliyo komaa na tupate mfano mmoja wa mzalendo wa kweli wa kuwainua siasa isitawale michezoni bali kanuni...
 14. Replies
  5
  Views
  3,526

  Re: CCM:JANGA LA KITAIFA

  Sasa naona imekuwa kawaida kuwaita majina ya kila namna mi naona hatua zichukuliwe za jinsi ya kuwaondoa na kuweka ladha mpya madarakani CCM wamegeuka bazoka utamu umeisha kilichobaki ni kuwatema
 15. Replies
  2
  Views
  891

  Re: Mabosi mmeiona hii? Chukueni hatua

  Wanaume wanaongoza kwa kulala kwenye madaladala yaan wako hoi wengine wanapitiliza na vituo
 16. Replies
  3
  Views
  893

  Re: RONALDO HAPASWI KULILIA 4-0

  Ureno inabidi wakaungane na wenzao spain katika msiba wa mabao wamekuja kizembe au joto linawasumbua
 17. Replies
  100
  Views
  21,340

  Re: MATOKEO YA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA

  Brazil hawana kiwango cha kutisha kabisa kilichobak marefa kuwabeba tu wasitie aibu wakat serikali imetumia bajeti ya kuilisha Tanzania kuuandaa michuano hiyo ss ole wao kombe lisibaki nchini

  - -...
 18. Re: BREAKING NEWS: Mwongozaji wa Filamu, George Tyson amefariki usiku

  Tunasikitika tunaendelea kupoteza watu muhimu RIP G.TYSON
 19. Re: Angalia mkwara wa England kuelekea Kombe la Dunia

  Hao ni wasindikizaji wapo kukamilisha ratiba
 20. Re: Mlinzi wa Mbowe (Bilicanas Club) ajiunga CCM!

  nahisi walimtuma aibe .....badala ya kijijin kwao anaenda kwenye boma la wezi ...kuna kitu
 21. Re: MABAERE MARANDO: NAJUA HATI ZA MUUNGANO ZILIPO

  Mabere muone lissu .....mpe hizo hati akafunguke
 22. Replies
  19
  Views
  4,357

  Re: ccm aibu yakatisha matangazo ya bunge

  mkuu tundu lissu kaishia pazuri kama utafanikiwa leta clip inayofwata .....anamwanga nondo tupu hapo mpaka kieleweke hati ya muungano imekwenda wapi
 23. Replies
  32
  Views
  7,222

  Re: SITTA AKWEPA AIBU

  kijana inelekea post zako zilikuwa hazijibiwi sasa umefanikiwa naona wamekushambulia kweli hahahah wanaMF bana
 24. Replies
  11
  Views
  3,207

  Re: MUZIKI WA WARIOBA HUU HAPA

  MUZIKI NIMEUONA MKUU
  HII NDO MF BANA
 25. Re: MH. SAMIA SULULU HASSAN NDIYR MAKAMO MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA

  mzee hiyo heading ina kidogo ina ukakasi

  ni sululu au suluhu
Results 1 to 25 of 53
Page 1 of 3 1 2 3