Meneja wa Manchester United Louis van Gaal, 64, anakaribia kujiuzulu baada ya kukiri kuwa amewaangusha mashabiki (Sun), Van Gaal atakuwa na mazungumzo na makamu mwenyekiti wa United Ed Woodard...