WACHEZAJI wa Coastal Union ya Tanga wamegoma ili kushinikiza kulipwa malimbikizo ya mishahara yao ya miezi mitatu.
Kundi la wachezaji lilifika makao makuu ya klabu, barabara ya 13 mapema asubuhi ya...